‘Vidhibiti kesi za mihadarati vipo’
SERIKALI imesema ipo sheria na utaratibu maalumu wa kusimamia vidhibiti vya kesi zinazohusu dawa za kulevya na mauaji.
Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni mjini Dodoma hapa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, wakati akijibu swali la nyongeza la Rukia Kassim Ahmed (Vita Maalumu-CUF).
Mbunge huyo alitaka kujua zinakopelekwa dawa za kulevya alizokamatwa nazo mshitakiwa mara kesi husika inapomalizika.
“Nataka kujua dawa wanazokamatwa nazo watuhumiwa hupelekwa wapi au huwa zinatumika...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/DSC_7788.jpg?width=650)
MTABIRI: VIFO VYA WABUNGE BADO VIPO!
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Vidhibiti mwendo ni lazima Kenya
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Shirika lapinga matumizi ya vidhibiti mimba
MAKOVU ya kudumu kwa wanawake wengi nchini husababishwa na utoaji mimba pamoja na utumiaji wa vidhibiti mimba ambayo ni hatari kwa afya zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa juzi na...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Tanzania uchochoro wa mihadarati
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ
10 years ago
BBCSwahili18 May
Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {1}
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Wauza mihadarati Mexico wajipange
10 years ago
BBCSwahili20 May
Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {3}
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Watanzania wanyongwa kwa mihadarati