Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saudia yakana uvumi wa vifo vya mahujaji

Saudi Arabia imekana ripoti kuwa mkanyagano uliowaua zaidi ya watu 700 karibu na mji wa Mecca ulisababishwa na kufungwa kwa barabara ili kuruhusu watu mashuhuri kuingia eneo hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

A-Z VIFO VYA MAHUJAJI

Na Waandishi Wetu
BONGO ni vilio! Kufuatia Watanzania wanne mahujaji miongoni mwa 717 waliopoteza maisha kwa kukanyagana mjini Mina, Maka, Saudi Arabia, hapa Bongo vilio vinaendelea hasa kufuatia habari kuwa, miili ya marehemu hao haitarudishwa nyumbani kwa mazishi.  Marehemu, Seif Salim Kitimla enzi za uhai wake. Tukio la mahujaji hao kupoteza maisha lilijiri Alhamisi iliyopita wakati wa zoezi la kumpiga mawe shetani ikiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Majina ya Mahujaji 18 kati ya 50 waliopotea Saudia yapatikana

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea majina 18 kati ya 50 ya Mahujaji kutoka Tanzania ambao hadi sasa hawaonekani kufuatia tukio la mkanyagano wa Mahujaji lililotokea eneo la Mina, Makkah tarehe wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 769 na wengine 934 kujeruhiwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Mahujaji wasimulia mazingira ya vifo Makkah

Mufti-mpya-599x350Na Waandishi Wetu, Dar

IMEDAIWA kuwa usimamizi mbaya wa zoezi zima la hijja ndio uliosababisha vifo vya mahujaji waliokwenda kuhiji katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.

Hayo yalibainishwa jana jijini Dar es Salaam na baadhi ya mahujaji ambao wamenusurika kufa katika tukio la kukunyagana lililotokea hivi karibuni katika mji wa Mina.

Akizungumza na waandishi  wa habari jijini Dar es Salaam jana, mmoja wa mahujaji hao waliorejea nchini, Abdulmalik Almas, alisema utaratibu wa kurusha...

 

9 years ago

Mwananchi

Hatima ya mahujaji 35 bado haijajulikana, vifo vyafikia nane

Idadi ya Watanzania waliofariki kwa ajali ya kukanyagana wakati wa hija katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia imeongezeka na kufikia watu nane huku wengine 35 wakiripotiwa kutoonekana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran na Saudia zatupiana maneno kuhusu vifo

Kiongozi wa kidini wa Iran, Ayatollah Khamenei,ameitaka Saudi Arabia kuomba msamaha, kufuatia msongamano wa mahujaji Mecca

 

9 years ago

Mtanzania

Ni kazi ngumu kuepuka vifo kwa mahujaji Saud Arabia

02DC54EA-FBAE-456F-8923-908F4A140991_mw640_mh360_sMWAKA 2014 tarehe kama hizi nilikuwapo Saudi Arabia kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya Hijja. Sikuwapo kwenye makundi yanayohudumiwa na mawakala wa mahujaji kutoka Tanzania, bali nilikwenda huko nikiwa mgeni wa serikali ya Mfalme wakati huo Marehemu Mfalme Abdullah bin Abdulaziz. Huyu wa sasa alikuwa msaidizi wake.

Niliungana na wanahabari kutoka vyombo vikubwa na vidogo kutoka barani Afrika, Asia na Ulaya. Mbali na kufanya ibada ya Hijja, serikali ya nchi hiyo ilituwezesha kutembelea maeneo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10

Takriban watu 10 wamepigwa risasi na kuuawa baada ya makundi mawili kutofautiana kuhusu jogoo yupi aliyeibuka mshindi katika vita katika jimbo la Guerrero Mexico.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani