Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iran na Saudia zatupiana maneno kuhusu vifo

Kiongozi wa kidini wa Iran, Ayatollah Khamenei,ameitaka Saudi Arabia kuomba msamaha, kufuatia msongamano wa mahujaji Mecca

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Saudia yafuta uhusiano na Iran

Saud Arabia imesitisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Iran

 

9 years ago

BBCSwahili

Saudia na Iran zaombwa kuondoa uhasama

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amezungumza na wenzake kutoka Saudia na Iran, katika hatua ya kutatua mzozo wa sasa

 

11 years ago

BBCSwahili

Iran;Saudia na Qatar ndio wachochezi

Rais wa Iran Hassan Rouhani ameyashtumu mataifa yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la mashriki ya kati.

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran: ‘Kisasi cha Mungu’ kitakumba Saudia

Kiongozi mkuu wa kidini wa Iran amesema Saudi Arabia itakumbana na “kisasi cha Mungu” kwa kumuua mhubiri maarufu wa Kishia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Saudia yakana uvumi wa vifo vya mahujaji

Saudi Arabia imekana ripoti kuwa mkanyagano uliowaua zaidi ya watu 700 karibu na mji wa Mecca ulisababishwa na kufungwa kwa barabara ili kuruhusu watu mashuhuri kuingia eneo hilo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA

Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.

Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno ya Chopamchopanga Kuhusu Marehemu Kanumba Yaleta Majonzi

Leo Asubuhi kupita ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies Juma Chikoka “Chopa Mchopanga” ambae amewahi kufanya kazi kwa karibu  na marehmu Steven Kanumba toka enzi wakiwa Kaole, ameonyesha hisia zake za kumkumbuka sana Kanumba kitendo ambacho kimewafanya washabiki wengi nao kuonyesha kukuswa na andiko hilo nakupelekea komenti nyingi za majonzi kutawala kwenye post hiyo.

Chapa aliandika haya mara baadaya kuweka picha ya Kanumba;

“Too soon.. too  young.. very talented  Steven  Kanumba.....

 

10 years ago

BBCSwahili

Msimamo kuhusu Iran watofautiana

Wajumbe wa mazungumzo ya mpango nyuklia wa Iran wanaokutana nchini Switzerland kutafuta suluhu ya pamoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani