Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iran: ‘Kisasi cha Mungu’ kitakumba Saudia

Kiongozi mkuu wa kidini wa Iran amesema Saudi Arabia itakumbana na “kisasi cha Mungu” kwa kumuua mhubiri maarufu wa Kishia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Saudia yafuta uhusiano na Iran

Saud Arabia imesitisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Iran

 

9 years ago

BBCSwahili

Saudia na Iran zaombwa kuondoa uhasama

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amezungumza na wenzake kutoka Saudia na Iran, katika hatua ya kutatua mzozo wa sasa

 

11 years ago

BBCSwahili

Iran;Saudia na Qatar ndio wachochezi

Rais wa Iran Hassan Rouhani ameyashtumu mataifa yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la mashriki ya kati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran na Saudia zatupiana maneno kuhusu vifo

Kiongozi wa kidini wa Iran, Ayatollah Khamenei,ameitaka Saudi Arabia kuomba msamaha, kufuatia msongamano wa mahujaji Mecca

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yalipiza kisasi cha rubani wake

Serikali ya Jordan imewauwa wapiganaji wawili wa kiislamu, waliokuwa wamezuiliwa korokoroni nchini humo

 

11 years ago

Michuzi

MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUPIGWA NA THOMASI MASHALI

Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana.Maugo alishinda kwa point mpambano huo.Bondia Thomas Mashali (kulia) akimrushia konde la mkono wa kushoto bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Maugo alishinda kwa point mpambano huo.Mabondia Mada Maugo (kushoto) na Thomas Mashali wakipambana ulingoni.Bondia Said Memba (kushoto)...

 

11 years ago

Michuzi

marekani yaifunga Ghana 2-1 kulipiza kisasi cha kutolewa nayo mapema mwaka 2010 afrika kusini

 Kocha wa Marekani ambaye ni mshambuliaji nyota wa zamani wa Ujerumani Jurgen Klinsmann na wachezaji wake wakishangilia bao la kwanza lililofungwa sekunde ya kwanza na Clint Dempsey pichani chini Goli la dakika ya kwanza lililowekwa kimiani na Clint Dempsey na lingine la dakika za lala salama la rizevu John Brooks katika mchezo  uliopigwa usiku uliopita mjini Natal, Brazil,  ni magoli ambayo yameiwezesha Marekani kulipiza kisasi dhidi ya Ghana waliowafunga 2-1 na kuwafungasha virago...

 

10 years ago

Habarileo

Azam, KCCA ni kisasi

AZAM leo itakuwa uwanjani kumenyana na KCCA ya Uganda katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani