Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washirika wa maendeleo wakamilisha uchangiaji

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum kabla ya soma bajeti ya Serikali kwa huu wa fedha mjini Dodoma.WASHIRIKA wa Maendeleo nchini wanaosaidia bajeti wamekubali kutoa asilimia tano ya fedha zilizokuwa zimebakia ili kukamilisha uchangiaji wa bajeti kwa mwaka 2014/15 baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya sakata la wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA MRADI WA UMEME KINYEREZI

Baadhi ya Washirika wa Maendeleo wakipita jirani na unapojengwa mmoja wa mitambo wa kupokea gesi katika eneo la Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kupokea gesi. Pichani ni mmoja wa Mtambo wa kuzalisha umeme ambao ni miongoni mwa mitambo itakayotumiwa katika kuzalisha kiasi cha megawati 150 za umeme katika Mradi wa Kinyerezi I. Meneja Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kuzalisha Umeme cha Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA NA MRADI WA UMEME KINYEREZI

Baadhi ya Washirika wa Maendeleo wakipita jirani na unapojengwa moja ya mitambo ya kupokea gesi katika eneo la Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kupokea gesi. Pichani ni moja ya Mtambo wa kuzalisha umeme ambao ni miongoni mwa mitambo itakayotumiwa katika kuzalisha kiasi cha megawati 150 za umeme katika Mradi wa Kinyerezi I.…
...

 

11 years ago

Michuzi

TUMEJITUMA TUKAVUTIA WASHIRIKA WA MAENDELEO-WAZIRI OMAR YUSSUF MZEE

Mhe. OMAR Yussuf Mzee, Waziri wa Fedha, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiongoea siku ya jumatatu kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano wa Kilele wa Baraza la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii ( ECOSOC). Mawaziri kutoka mataifa mbalimbali wapo hapa Umoja wa Mataifa kuhudhuria mkutano huo ambao unajadili utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya millenia ( MDGs), changamoto zake, changamoto zinazoibuka, pamoja na ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na nchi washirika wa maendeleo jijini Dar leo

se1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya  mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia  michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika  kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

se3

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA NCHI WASHIRIKA WA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika mazungumzo na mabalozi na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo katika mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana...

 

10 years ago

Michuzi

JEMBE FM YAPANIA KUWA SEHEMU YA UCHANGIAJI KATIKA UKUAJI WA MAENDELEO YA JIJI LA MWANZA

Mkurugenzi wa Mtedaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege, kwa mara ya kwanza hii leo amezungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza kupitia masafa mapya ya 93.7 Jembe FM kuwakaribisha kuwa sehemu ya familia ya redio hiyo sanjari na kuelezea mipango na mikakati ya kituo hicho. Dr. Ndege amesema kuwa Jembe FM imepania kuwa sehemu ya uchangiaji wa ukuaji wa maendeleo ya jiji la Mwanza lenye hazina za kitalii, uvuvi, madini na sekta mbalimbali za uchumi, viwanda...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF na washirika wa maendeleo wanaofadhili Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi watembelea kisiwani Zanzibar

 Mkuu wa Mkoa wa Kusimni Unguja.Dkt. Idris Muslim Hijja, akizungumza na Ujumbe wa Tasaf  na Wawakilishi wa kutoka Nchi Wafadhi wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini PSSN  kabla ya kutembelea Shehia ya Kikungwi.   Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF mwenye suti nyeusi Ndg. Ladisilaus Mwamanga, akizungumza katika  Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt Idris Muslim Hijja, kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.  Mwakilishi kutoka Benki ya Dunia Bi. Ida Manjoro, akizungumza wakati walipofika Ofisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Namtumbo wakamilisha maabara

AGIZO la Rais Jakaya Kikwete la ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule zote za sekondari nchini, limetekelezwa vizuri wilayani Namtumbo ambapo wananchi kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya wamefanikisha kazi hiyo kwa asilimia 95.

 

10 years ago

Habarileo

Mahujaji milioni 2 wakamilisha hija

ZAIDI ya mahujaji milioni 1.3 kutoka kila pembe ya dunia jana walitumia siku nzima katika viwanja vya Arafat vilivyoko kilometa 15 kutoka jiji la Makkah kukamilisha kilele za ibada ya Hija ya mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani