Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JEMBE FM YAPANIA KUWA SEHEMU YA UCHANGIAJI KATIKA UKUAJI WA MAENDELEO YA JIJI LA MWANZA

Mkurugenzi wa Mtedaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege, kwa mara ya kwanza hii leo amezungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza kupitia masafa mapya ya 93.7 Jembe FM kuwakaribisha kuwa sehemu ya familia ya redio hiyo sanjari na kuelezea mipango na mikakati ya kituo hicho. Dr. Ndege amesema kuwa Jembe FM imepania kuwa sehemu ya uchangiaji wa ukuaji wa maendeleo ya jiji la Mwanza lenye hazina za kitalii, uvuvi, madini na sekta mbalimbali za uchumi, viwanda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Mwanza Pasaka kwenye kiota kipya cha Jembe Beach Resort

DSC_0028

Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.

DSC_0031

Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0041

Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.

DSC_0052

Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.

20140420_153642

Mandhari ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma

IMG-20141023-WA0003

Hashimu Donode akiimba kwa hisia kalii kabisaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani mashabiki wake.

Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.

Digna Mbepera akiimba kwa...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

DNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA

Mwanamuziki DNA akiwapagawisha mashabiki wa muziki ndani ya Ukumbi wa Jembe ni Jembe, Mwanza. Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Kenrazy akiwa stejini kuwapa burudani mashabiki wa Jembe ni Jembe.…

 

10 years ago

GPL

SHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA

Mwana Hip hop, Joh Makini akisema na mashabiki wake waliofurika katika Ukumbi wa Jembe ni Jemba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mashabiki wakiwa wamechizika na burudani kutoka kwa Joh Makini.…

 

9 years ago

StarTV

Jiji la Mwanza kuwa na taswira ya kuvutia

Jiji la Mwanza kwa kushirikiana na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na wataalamu kutoka Singapore limeandaa mpango kabambe unaofahamika kama Mwanza 2035 utakaotoa taswira nzuri ya kulifanya jiji hili kuwa la kisasa ifikapo mwaka 2035.

Katika mpango huo umetolewa mkakati pendekezi ili kuhakikisha uwepo wa mtandao bora wa maji safi, maji taka, maji ya mvua, taka ngumu na miundo mbinu ya umeme ambapo ushirikishwaji wa wananchi katika mpango huu umezingatiwa.

Katika mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...

 

10 years ago

Michuzi

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.


 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3


 

10 years ago

Michuzi

manispaa za jiji la dar es salaam zaagizwa kubomoa majengo katika sehemu za wazi, kusafisha fukwe

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. George Simbachawene akizungumza na viongozi na watendaji wa Manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam kuhusu maagizo ya namna ya kusimamia maeneo ya wazi. Pia, ametoa siku 14 kuanzia jana Alhamisi kwa Manispaa hizo kubomoa maeneo ya wazi yaliyovamiwa ambayo yalikwishatolewa Ilani. Aidha, Naibu Waziri ametoa siku 30 kwa Manispaa ya Kinondoni kuwasilisha ofisini  kwake utaratibu wa namna ya kusafisha fukwe. 

 Watendaji wa Manispaa zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani