Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jiji la Mwanza kuwa na taswira ya kuvutia

Jiji la Mwanza kwa kushirikiana na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na wataalamu kutoka Singapore limeandaa mpango kabambe unaofahamika kama Mwanza 2035 utakaotoa taswira nzuri ya kulifanya jiji hili kuwa la kisasa ifikapo mwaka 2035.

Katika mpango huo umetolewa mkakati pendekezi ili kuhakikisha uwepo wa mtandao bora wa maji safi, maji taka, maji ya mvua, taka ngumu na miundo mbinu ya umeme ambapo ushirikishwaji wa wananchi katika mpango huu umezingatiwa.

Katika mkutano...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JEMBE FM YAPANIA KUWA SEHEMU YA UCHANGIAJI KATIKA UKUAJI WA MAENDELEO YA JIJI LA MWANZA

Mkurugenzi wa Mtedaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege, kwa mara ya kwanza hii leo amezungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza kupitia masafa mapya ya 93.7 Jembe FM kuwakaribisha kuwa sehemu ya familia ya redio hiyo sanjari na kuelezea mipango na mikakati ya kituo hicho. Dr. Ndege amesema kuwa Jembe FM imepania kuwa sehemu ya uchangiaji wa ukuaji wa maendeleo ya jiji la Mwanza lenye hazina za kitalii, uvuvi, madini na sekta mbalimbali za uchumi, viwanda...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MJI WA MOSHI UKIWA KWENYE MAANDALIZI YA KUWA JIJI

Jengo la ofisi ya Mkuu a mkoa wa Kilimanjaro linavyoonekana kwa juu.

Katikati ya mji wa Moshi

Jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya ya Moshi linavyoonekana kwa juu.

Eneo la kati jirani na ofisi za mkuu wa wilaya ya Moshi.

Ujenzi wa jengo jipya la Ghorofa jirani kabisa na kipta shoto cha Arusha.



Eneo la katikati ya mji wa Moshi.

Jengo zilipo ofisi za mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro .

Eneo la Shanty town linavyoonekana kwa mbali.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAKIRI WAZI HAIJAPATA KUTOKEA,WAELEZA HISIA ZAO KUWA MAGUFULI ANATOSHA NAFASI YA URAIS.

 Dkt. Magufuli (katikati) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana (pichani kulia) Ndugu Stanslaus Mabula mbele ya Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha jioni ya leo.Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza waliohojiwa na Globu ya Jamii walieleza na kukiri wazi kuwa haijawahi kutokea kwa mapokezi haya makubwa na ya aina yake,na kuwa Magufuli ndiye anaetosha kuvaa viatu vya Urais. Dk Magufuli (katikati) akiwanadi Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela,...

 

10 years ago

GPL

MWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE

Mwanaharakati John Masweta akiwa kwenye geti kuu la Makao Makuu ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.

 Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

MAELFU WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.

 Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA NDANI YA JIJI LA ABUJA,NIGERIA

Jiji la Abuja, ambao ndilo makao makuu ya nchi ya Nigeria, lipo katikati ya nchi hiyo kubwa na tajiri yenye utajiri mkubwa wa mafuta na gesi. Mji huu ulijengwa miaka ya 1980, na ukatangazwa rasmi kuwa makao makuu ya nchi December 12, 1991, kuchukua nafasi ya jiji la Lagos, ambalo linabakia kuwa ni jiji lenye wakazi wengi kuliko sehemu yoyote katika Nigeria.  Kama ilivyo ada, Abuja limekua siku hadi siku huku likishuhudia ongezeko kubwa la watu kiasi cha serikali kulazimika kuanza kujenga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani