TUMEJITUMA TUKAVUTIA WASHIRIKA WA MAENDELEO-WAZIRI OMAR YUSSUF MZEE
Mhe. OMAR Yussuf Mzee, Waziri wa Fedha, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiongoea siku ya jumatatu kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano wa Kilele wa Baraza la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii ( ECOSOC). Mawaziri kutoka mataifa mbalimbali wapo hapa Umoja wa Mataifa kuhudhuria mkutano huo ambao unajadili utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya millenia ( MDGs), changamoto zake, changamoto zinazoibuka, pamoja na ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pjKGvXXFOHs/U5n7ePx9FZI/AAAAAAAFqL4/vszfKHRIZJ8/s72-c/DSC_0805.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-pjKGvXXFOHs/U5n7ePx9FZI/AAAAAAAFqL4/vszfKHRIZJ8/s1600/DSC_0805.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SEA-9AKzO4U/VL5Z_QjeMtI/AAAAAAAAFNw/g69e5dtYUJo/s72-c/tangazo.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoYeMoFNZrHu87ictlKyr9zrSPFFeXeFwLAzbyUI*xM*F8J0Zp7Cp6CoY*m2SELDyeqpmF7tySDnEPQ9V9C93FQo/mzee.jpg)
MZEE YUSSUF, KHADIJA KOPA WAUNGANA
10 years ago
Habarileo12 Mar
Washirika wa maendeleo wakamilisha uchangiaji
WASHIRIKA wa Maendeleo nchini wanaosaidia bajeti wamekubali kutoa asilimia tano ya fedha zilizokuwa zimebakia ili kukamilisha uchangiaji wa bajeti kwa mwaka 2014/15 baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya sakata la wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
GPLWASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA NA MRADI WA UMEME KINYEREZI
10 years ago
MichuziWASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA MRADI WA UMEME KINYEREZI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MWu0m_EYUvo/VV1PjpoeYYI/AAAAAAAHYvc/863pTE_YT38/s72-c/unnamed%2B%252866%2529.jpg)
MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI KUKINUKISHA MWANZA JUNI 11 NDANI YA VILLA PARK
![](http://2.bp.blogspot.com/-MWu0m_EYUvo/VV1PjpoeYYI/AAAAAAAHYvc/863pTE_YT38/s640/unnamed%2B%252866%2529.jpg)
Patakuwa hapatoshi ndani ya Villa Park pale wakali hao wanaokimbiza soko la taarab watakapoumana katika usiku wa Baba na Mwana.
11 years ago
Dewji Blog30 May
Katibu Mkuu Kiongozi akutana na nchi washirika wa maendeleo jijini Dar leo
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika...