Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI KUKINUKISHA MWANZA JUNI 11 NDANI YA VILLA PARK

Kama tangazo linavyojieleza, ni onyesho la kukata na shoka kati ya mfalme wa taarab Mzee Yussuf na malkia wa masauti Isha Mashauzi Juni 11 ndani ya jiji la Mwanza.


Patakuwa hapatoshi ndani ya Villa Park pale wakali hao wanaokimbiza soko la taarab watakapoumana katika usiku wa Baba na Mwana.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LEO NI LEO MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI NDANI YA VILLA PARK MWANZA

Hatimaye siku imewadia, tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab wa jiji la Mwanza ndio hii hapa - ni Mzee Yussuf na Isha Mashauzi katika onyesho la kukata na shoka ndani ya Villa Park leo usiku.
Ni onyesho linalokutanisha miamba miwili ya taarab ambapo licha ya kuchukuliwa kama mtu na mwanae lakini upinzani mkubwa unatarajiwa kutawala katika onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa baba na mwana.
Wasanii wote wawili (Isha na Mzee) wameahidi kumimina...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI LEO NDANI YA VILLA PARK MWANZA, MFALME MZEE YUSSUF NA MALKIA ISHA MASHAUZI WATATOANA MACHO

Hatimaye siku imewadia, tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab wa jiji la Mwanza ndio hii hapa - ni Mzee Yussuf na Isha Mashauzi katika onyesho la kukata na shoka ndani ya Villa Park leo usiku.Ni onyesho linalokutanisha miamba miwili ya taarab ambapo licha ya kuchukuliwa kama mtu na mwanae lakini upinzani mkubwa unatarajiwa kutawala katika onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa baba na mwana.

Wasanii wote wawili (Isha na Mzee) wameahidi kumimina uhondo wa aina...

 

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC

Hatimaye wakurugenzi wa Mashauzi Classic na Jahazi Modern Taarab, wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa onyesho la pamoja la makundi hayo yenye nguvu katika muziki wa taarab.
 Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani. 
 Wakiongea katika mkutano huo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MPANGO MZIMA WA RATIBA YA HARAKATI ZA VALENTINE NDANI YA VILLA PARK JIJINI MWANZA

Mpango mzima wa 'Harakati za Valentine ndani ya Villa Park Mwanza, utakao anza rasmi Alhamisi ya tarehe 12/02/2015 ambapo Mfalme Mzee Yusufu na Bendi yake ya Jahazi Mordrn Taarab kuhusika, kiingilio nishilingi 10,000/=

Kisha Jumamosi ya tarehe 14/02/2015 Valentines Day bendi ya Super Kamanyola kutambulisha safu ya waimbaji wake wapya, Kiingilio Sebuleni Tshs 5,000/= na Tshs10,000/= utazama hadi Disco ambako kutakuwa na mpambano wa Ma-Dj NANI MKALI KATI YA DJ TASS (MAGIC FM) V/s DJ EDDY (RFA)

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Ramadhan Hussein wa Villa Park ya jijini Mwanza aukacha Ukapera

Mdau Ramadhan Hussein ambaye ni Meneja wa Kiota maarufu jijini Mwanza "Villa Park",mwishoni mwa wiki iliyopia aliamua kuachana kabisa na Chama cha Makapera kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Husna Salum mkazi wa huko Ukonga jijini Dar es Salaam.Ndoa yao hiyo ilifungwa katika Msikiti Mkubwa wa Ijumaa ulipo Airport,Ukonga jijini Dar es Salaam.Mdau Ramadhan Hussein na Mamsapu wake Bi. Husna Salum wakionekana kuwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao. Ni chereko chereko tu kwa kwenda...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20

Mtu wangu wa nguvu naomba nikujuze kilichotokea katika Mama Tour ya Yamoto Band pande za Mwanza, ikiwa ni siku moja imepita toka Yamoto Band wapige Show kali pande za Geita, usiku wa December 25 yaani sikukuu ya Chrismass, December 26 siku ya Boxing Day wameamua kufungua mabox yao ya zawadi ndani ya ukumbi wa Villa […]

The post Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Daily Mail

Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park

Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park  Daily MailMbwana Samatta makes Aston Villa relegation claim  Sportslens.comAston Villa announce £69m loss despite sale of Villa Park  The GuardianSamatta shares secret to impressive start at Aston Villla  Goal.comAston Villa lost £68.9m as they were promoted to Premier League  BBC NewsView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Bongo5

Music: Isha Mashauzi – Jiamini

isha Mashauzi

Mwimbaji bora wa kike wa taarab Isha Mashauzi, amezidi kudhihirisha kuwa yuko vizuri hata nje ya taarab baada ya kuachia ngoma yake mpya inaitwa “JIAMINI” iliyoko katika miondoko ya zouk rumba.

Studio za Soft Records chini ya producer Pitchou Mechant,

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani