Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPANGO MZIMA WA RATIBA YA HARAKATI ZA VALENTINE NDANI YA VILLA PARK JIJINI MWANZA

Mpango mzima wa 'Harakati za Valentine ndani ya Villa Park Mwanza, utakao anza rasmi Alhamisi ya tarehe 12/02/2015 ambapo Mfalme Mzee Yusufu na Bendi yake ya Jahazi Mordrn Taarab kuhusika, kiingilio nishilingi 10,000/=

Kisha Jumamosi ya tarehe 14/02/2015 Valentines Day bendi ya Super Kamanyola kutambulisha safu ya waimbaji wake wapya, Kiingilio Sebuleni Tshs 5,000/= na Tshs10,000/= utazama hadi Disco ambako kutakuwa na mpambano wa Ma-Dj NANI MKALI KATI YA DJ TASS (MAGIC FM) V/s DJ EDDY (RFA)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI KUKINUKISHA MWANZA JUNI 11 NDANI YA VILLA PARK

Kama tangazo linavyojieleza, ni onyesho la kukata na shoka kati ya mfalme wa taarab Mzee Yussuf na malkia wa masauti Isha Mashauzi Juni 11 ndani ya jiji la Mwanza.


Patakuwa hapatoshi ndani ya Villa Park pale wakali hao wanaokimbiza soko la taarab watakapoumana katika usiku wa Baba na Mwana.

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Ramadhan Hussein wa Villa Park ya jijini Mwanza aukacha Ukapera

Mdau Ramadhan Hussein ambaye ni Meneja wa Kiota maarufu jijini Mwanza "Villa Park",mwishoni mwa wiki iliyopia aliamua kuachana kabisa na Chama cha Makapera kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Husna Salum mkazi wa huko Ukonga jijini Dar es Salaam.Ndoa yao hiyo ilifungwa katika Msikiti Mkubwa wa Ijumaa ulipo Airport,Ukonga jijini Dar es Salaam.Mdau Ramadhan Hussein na Mamsapu wake Bi. Husna Salum wakionekana kuwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao. Ni chereko chereko tu kwa kwenda...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI LEO MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI NDANI YA VILLA PARK MWANZA

Hatimaye siku imewadia, tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab wa jiji la Mwanza ndio hii hapa - ni Mzee Yussuf na Isha Mashauzi katika onyesho la kukata na shoka ndani ya Villa Park leo usiku.
Ni onyesho linalokutanisha miamba miwili ya taarab ambapo licha ya kuchukuliwa kama mtu na mwanae lakini upinzani mkubwa unatarajiwa kutawala katika onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa baba na mwana.
Wasanii wote wawili (Isha na Mzee) wameahidi kumimina...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI LEO NDANI YA VILLA PARK MWANZA, MFALME MZEE YUSSUF NA MALKIA ISHA MASHAUZI WATATOANA MACHO

Hatimaye siku imewadia, tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab wa jiji la Mwanza ndio hii hapa - ni Mzee Yussuf na Isha Mashauzi katika onyesho la kukata na shoka ndani ya Villa Park leo usiku.Ni onyesho linalokutanisha miamba miwili ya taarab ambapo licha ya kuchukuliwa kama mtu na mwanae lakini upinzani mkubwa unatarajiwa kutawala katika onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa baba na mwana.

Wasanii wote wawili (Isha na Mzee) wameahidi kumimina uhondo wa aina...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20

Mtu wangu wa nguvu naomba nikujuze kilichotokea katika Mama Tour ya Yamoto Band pande za Mwanza, ikiwa ni siku moja imepita toka Yamoto Band wapige Show kali pande za Geita, usiku wa December 25 yaani sikukuu ya Chrismass, December 26 siku ya Boxing Day wameamua kufungua mabox yao ya zawadi ndani ya ukumbi wa Villa […]

The post Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Daily Mail

Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park

Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park  Daily MailMbwana Samatta makes Aston Villa relegation claim  Sportslens.comAston Villa announce £69m loss despite sale of Villa Park  The GuardianSamatta shares secret to impressive start at Aston Villla  Goal.comAston Villa lost £68.9m as they were promoted to Premier League  BBC NewsView Full coverage on Google News

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

10 years ago

Michuzi

DJ JERRY KOTTO NDANI YA KIOTA CHA HISAJE PARK BOKO JIJINI DAR

 Dj Jerry Kotto akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.dj Jerry Kotto ni moja kati ya maDj wa miaka mingi hapa nchini.Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

DJ JERRY KOTTO NDANI YA KIOTA CHA HISAJE PARK BOKO JIJINI DAR ES SALAAM

 Dj Jerry Kotto dj wako wa miaka mingi akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani