Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka

MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WAFA KWA KUKANYAGANA WAKITEKELEZA IBADA YA HIJA

Profesa Ibrahim Lipumba, akisalimiana na Hujaji mwenzake kwenye msikiti mkuu wa Mecca, Saudi Arabia, wakati wa ibada ya Hija.KWA uchache Waislamu 717 wamefariki dunia kwa kukanyagana wakati wakitekeleza ibada ya Hija nje kidogo ya Maka (Mecca).Watislamu wengine 863 wamejeruhiwa kwenye kadhai hiyo iliyotokea wakati Waislamu wanaoshiriki ibada ya Hija, walipokuwa wakitekeleza tendo la kumrushia mawe shetani.Mkanyagano huo ambao umetokea kwenye daraja la bonde la Minna, kilomita chache kutoka...

 

9 years ago

Mwananchi

Mamia ya mahujaji wafariki katika mkanyagano Makka

Watu wasiopungua 717 wamekufa, huku wengine 816 wamejeruhiwa leo jirani na mji mtakatifu wa Makka walikokwenda kuhiji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa moja ya nguzo muhimu katika Imani ya dini ya Kiislamu, maofisa Saudi Arabia wathibitisha.

 

9 years ago

GPL

ZAIDI YA WATU 220 WAFARIKI KWA KUKANYAGANA, MAKKA-SAUDI ARABIA

Waokoaji wakiwa katika harakati za kuokoa majeruhi wa tukio hilo. Shughuli za uokoaji zikiendelea. Umati wa waumini wa dini ya Kiislam waliokwenda kuhiji Makka, Saudi…

 

9 years ago

Mwananchi

Taasisi zinazosafirisha mahujaji zijifunze kwa janga la Makka

Sherehe za sikukuu ya Idd el Hajj mwaka huu ilikumbwa na mtihani mkubwa baada ya mahujaji zaidi ya 700 wa Kiislamu kufariki dunia na maelfu kujeruhiwa wakati wa ibada hiyo kwenye mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia kutokana na kukanyagana.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mahujaji 717 wapoteza maisha Mecca baada ya kukanyagana

Takriban mahujaji 717 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana karibu na mji mtakatifu wa kiislam, Mecca nchini Saudi Arabia. Watu wengine 863 wamejeruhiwa kwenye tukio hilo lililotokea kwenye eneo la Mina, wakati ambapo mahujaji milioni mbili kutoka nchi mbalimbali duniani walikuwa kwenye siku ya mwisho ya Hijja. Hilo ni tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi […]

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji waliofia Makka wafikia 11

SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 18 waliopotea Makka watambuliwa

SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuwa mahujaji 50 wa Tanzania waliokuwa katika Mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, hawajulikani walipo tangu kutokea kwa tukio la kukanyagana na kusababisha vifo vya watu 769, imesema imepokea majina 18 ya watu ambao hawajulikani walipo.

 

9 years ago

Mwananchi

Matukio yaliyogharimu maisha ya mahujaji Makka

Ni faraja kwa waumini wa dini ya Kiislamu kuhiji mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabi. Siyo tu kwa sababu ya  yakutimiza wajibu wao kama Waislamu, lakini hija ni moja ya nguzo muhimu za dini hiyo.

 

9 years ago

GPL

MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA

Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo. Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo ikiwa imefunikwa. Muonekano wa umati wa mahujaji katika mji wa Makka. Makka, Saudi Arabia MAHUJAJI  wane Watanzania wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio la kukanyagana lililotokea jana huko Mina katika mji wa mtakatifu wa Makka nchini saudi Arabia. Watanzania hao waliopoteza maisha ni miongoni mwa mahujaji 717 kutoka sehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani