Matukio yaliyogharimu maisha ya mahujaji Makka
Ni faraja kwa waumini wa dini ya Kiislamu kuhiji mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabi. Siyo tu kwa sababu ya yakutimiza wajibu wao kama Waislamu, lakini hija ni moja ya nguzo muhimu za dini hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Sep
Mahujaji 18 waliopotea Makka watambuliwa
SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuwa mahujaji 50 wa Tanzania waliokuwa katika Mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, hawajulikani walipo tangu kutokea kwa tukio la kukanyagana na kusababisha vifo vya watu 769, imesema imepokea majina 18 ya watu ambao hawajulikani walipo.
10 years ago
Habarileo08 Oct
Mahujaji waliofia Makka wafikia 11
SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.
10 years ago
GPL
MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Mahujaji wengine wanane wagundulika kufariki Makka
10 years ago
Habarileo25 Sep
Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka
MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Mamia ya mahujaji wafariki katika mkanyagano Makka
10 years ago
Mwananchi27 Sep
Taasisi zinazosafirisha mahujaji zijifunze kwa janga la Makka
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Watanzania wanne wapoteza maisha kwa mkanyagano Makka
10 years ago
Bongo524 Sep
Picha: Mahujaji 717 wapoteza maisha Mecca baada ya kukanyagana