Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi zinazosafirisha mahujaji zijifunze kwa janga la Makka

Sherehe za sikukuu ya Idd el Hajj mwaka huu ilikumbwa na mtihani mkubwa baada ya mahujaji zaidi ya 700 wa Kiislamu kufariki dunia na maelfu kujeruhiwa wakati wa ibada hiyo kwenye mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia kutokana na kukanyagana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka

MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji waliofia Makka wafikia 11

SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 18 waliopotea Makka watambuliwa

SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuwa mahujaji 50 wa Tanzania waliokuwa katika Mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, hawajulikani walipo tangu kutokea kwa tukio la kukanyagana na kusababisha vifo vya watu 769, imesema imepokea majina 18 ya watu ambao hawajulikani walipo.

 

9 years ago

GPL

MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA

Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo. Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo ikiwa imefunikwa. Muonekano wa umati wa mahujaji katika mji wa Makka. Makka, Saudi Arabia MAHUJAJI  wane Watanzania wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio la kukanyagana lililotokea jana huko Mina katika mji wa mtakatifu wa Makka nchini saudi Arabia. Watanzania hao waliopoteza maisha ni miongoni mwa mahujaji 717 kutoka sehemu...

 

9 years ago

Mwananchi

Matukio yaliyogharimu maisha ya mahujaji Makka

Ni faraja kwa waumini wa dini ya Kiislamu kuhiji mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabi. Siyo tu kwa sababu ya  yakutimiza wajibu wao kama Waislamu, lakini hija ni moja ya nguzo muhimu za dini hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mamia ya mahujaji wafariki katika mkanyagano Makka

Watu wasiopungua 717 wamekufa, huku wengine 816 wamejeruhiwa leo jirani na mji mtakatifu wa Makka walikokwenda kuhiji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa moja ya nguzo muhimu katika Imani ya dini ya Kiislamu, maofisa Saudi Arabia wathibitisha.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahujaji wengine wanane wagundulika kufariki Makka

Serikali imetangaza ongezeko la mahujaji wanane waliopoteza maisha kwenye mkanyagano uliotokea kwenye mji mtakatifu wa Makka mwishoni mwa mwezi uliopita na kufanya idadi ya waliopoteza maisha kufikia 20.

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA TAASISI ZA HIJJA ZANZIBAR ZAANDAA KONGAMANO KWA MAHUJAJI WATARAJIWA

Na Ramadhani Ali –Maelezo Zanzibar Waislamu wa Zanzibar wanaotegemea kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu wameshauriwa kukamilisha mipango ya safari hiyo mapema ili kuziwezesha Taasisi zinazosafirisha mahujaji kuweza kukamilisha taratibu mpya zilizowekwa na Serikali ya Saudi Arabia. Akizungumza katika Kongamano la mahujaji watarajiwa lililofanyika ukumbi wa Beit al Yamin Malindi, Afisa kutoaka Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Ustaadh Khalid Mohammed Mrisho amesema Serikali ya Saudi Arabia...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia

Taasisi za DYCCC na Alhikma Foundation kwa kushirikiana na Taasisi zingine 7 wameweza kutoa msaada wa vifaa mbali mbali vya kuzikia leo tarehe 09 May 2020. Hii ilifuatia na mafunzo ya namna ya kuhudumia na kuzika maiti iliyotolewa na wataalam wa maziko. Makabidhiano haya yamefanyika katika viwanja vya Makaburi ya Kisutu mjini Dar Es Salaam.



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani