Mahujaji wengine wanane wagundulika kufariki Makka
Serikali imetangaza ongezeko la mahujaji wanane waliopoteza maisha kwenye mkanyagano uliotokea kwenye mji mtakatifu wa Makka mwishoni mwa mwezi uliopita na kufanya idadi ya waliopoteza maisha kufikia 20.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Sep
Mahujaji 18 waliopotea Makka watambuliwa
SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuwa mahujaji 50 wa Tanzania waliokuwa katika Mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, hawajulikani walipo tangu kutokea kwa tukio la kukanyagana na kusababisha vifo vya watu 769, imesema imepokea majina 18 ya watu ambao hawajulikani walipo.
9 years ago
Habarileo08 Oct
Mahujaji waliofia Makka wafikia 11
SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Matukio yaliyogharimu maisha ya mahujaji Makka
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mahujai-2.jpg?width=650)
MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA
9 years ago
Habarileo25 Sep
Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka
MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Mamia ya mahujaji wafariki katika mkanyagano Makka
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Taasisi zinazosafirisha mahujaji zijifunze kwa janga la Makka
9 years ago
VijimamboMAHUJAJI WENGINE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SAUDI ARABIA
Mahujaji wengine wawili kutoka Tanzania ambao walikuwa hawaonekani tokea ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makkah nchini Saudi Arabia tarehe 24 Septemba 2015 wametambuliwa kuwa, ni miongoni mwa mahujaji waliofariki dunia.
Kutambuliwa kwa mahujaji hao kunafanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali hiyo kufikia ishirini na saba (27). Majina kamili ya mahujaji hao ni Bw. Juma Yussuf Bakula na Bw. Ahmad Awadh Namongo kutoka Kikundi cha Ahlu Dawaa.
Hadi sasa...
9 years ago
MichuziMAHUJAJI WENGINE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SAUDI ARABIA