Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FURSA YA AJIRA UKANDA WA MAZIWA MAKUU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAINGILIA KATI KUOKOA MASHINDANO YA VIJANA UKANDA WA MAZIWA MAKUU.

Na Bertha Mollel – Arusha. Shirikisho la kandada nchini Tanzania (TFF) limeingilia kati kuokoa mashindano ya vijana ukanda wa maziwa makuu ambayo yalikuwa hatihati kufanyika na sasa yataendeshwa kwa kushirikiana na waratibu wa mashindano hayo Rollingstone Sports academy ya mjini Arusha chini ya mwamvuli wa mtandao wa taasisi za za soka la vijana afrika mashariki na kati ECAYFA.
Mashindano hayo ya wazi hufanyika kila mwaka mkoani Arusha mwaka huu yatafanyika jijini dar es salaam na...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA

Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Mulamula afungua Mkutano wa Asasi za Kiraia wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Asasi za Kiraia kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwashirikisha wenyeviti wa asasi za kiraia kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu. Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia ufunguzi wakati Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akizungumza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Balozi Mulamula: Asasi za Kiraia zina mchango mkubwa katika Amani ukanda wa Maziwa Makuu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Asasi za Kiraia kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwashirikisha wenyeviti wa asasi za kiraia kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu. Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia ufunguzi wakati Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Soko la Kagunga Kigoma kunufaisha maziwa makuu

Ujenzi wa Soko la Kimataifa katika Kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani hapa jirani na mpaka wa Tanzania na Burundi linatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha kibiashara katika nchi za maziwa makuu.

 

10 years ago

Habarileo

Shein: Ushirikiano Z’bar Maziwa Makuu ni mzuri

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imekuwa na uhusiano na ushirikiano mzuri na nchi za Maziwa Makuu, hivyo ipo haja ya kuimarisha hatua hiyo kwa kuendelea kuutangaza utalii wa Zanzibar katika nchi hizo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda ahudhuria mkutano wa Maziwa Makuu Nairobi

PG4A6130

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano  Maalum wa Nchi za  Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Habarileo

‘Kuna ongezeko la wahamiaji haramu nchi za Maziwa Makuu’

LICHA ya kuendeshwa kwa Operesheni Kimbunga ili kuondoa wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi nchini isivyo halali, imebainika kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji haramu kutoka nchi za Maziwa Makuu baada ya wengi wa walioondolewa katika operesheni hiyo kurejea nchini kimya kimya bila ya kukamilisha taratibu za kuishi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani