Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUTURE STARS KUSHIRIKI MICHUANO JIJINI KAMPALA


Kituo cha kukuza soka la vijana cha Future Stars Academy(FSA) cha jijini Arusha  kinataraji kushiriki  katika  michuano ya Uganda Junior League inayotaraji kutimua vumbi jijini Kampala mnamo Aprili 24 hadi 26 mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkurugenzi na mwanzilishi wa kituo hicho,Alfred  Itaeli alisema kuwa kituo chao kinataraji kupeleka timu ya watoto ya U-15 katika michuano hiyo kwa lengo la kushindana na kisha kunyakua ubingwa.

Alisema kuwa  ushiriki wao umefuatia kupitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOKA SARE YA 1-1 NA UGANDA CRANES JIJINI KAMPALA LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)  imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2017 nchini Rwanda uliofanyika uwanja wa Nakivubo.Stars ambayo leo imeonekana kubadilika katika mchezo wa leo, ilicheza soka la kuvutia tangu mwanzo mpaka mwisho wa mchezo hali iliyowaduwaza wenyeji Uganda.Mpaka dakika 45 za mchezo za kipindi cha kwanza zinamalizika, Uganda 0 - 0 Tanzania. Kipindi cha pili kilianza kwa Stars kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

michuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar

 Nahodha wa Timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anywe na mshabuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.  Mchezaji wa Timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na Beki wa Timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF:Morocco kushiriki katika michuano

Shirikisho la soka barani Africa CAF limethibitisha kuwa Morocco itashiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la Afrika mwaka 2017.

 

10 years ago

GPL

MAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12

Mwamuzi akiwakagua wachezaji. Kikosi cha timu ya Villa Kids kikiwa katika pozi.…

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Kila la kheri Stars michuano ya Cosafa

>Leo, kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinaingia kwenye Uwanja wa Olympia Park, Rustenburg Afrika Kusini kupambana na Swaziland katika mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Cosafa ambayo yalifunguliwa jana.

 

10 years ago

Michuzi

Michuano ya Airtel Rising Stars Mkoani Arusha Yazinduliwa Rasmi

Katibu tawala mkoa wa Arusha Ado Mapunda jana alizindua mashindano ya kuibua vipaji vya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Arusha na kuwataka vijana wanaoshiriki mashindano hayo kujituma na kucheza kwa bidii ili kutimiza ndoto zao za kuwa wachezaji nyota.
Hafla ya ufunguzi ilihudhuliwa na viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) mkoa wa Arusha, mdhamini wa mashindano Airtel Tanzania na wadau wengine wa soka. Ufunguzi huo uliufanyika katika...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars

Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, ambapo timu za Temeke na Mwanza zilipepetana kwa upande wa wasichana huku Mwanza na Morogoro walitifuana vikali kwa upande wa wavulana. Kwa kuanzia na mchezo ambao ulizikutanisha timu za wavulana, Mwanza waliwasambaratisha vibaya Morogoro kwa kuwashindilia magoli 3-1. Mwanza ambao walionekana kutakata kila idara,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kushiriki Cosafa Cup.

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

TheCitizen

Future Taifa Stars camp in Shinyanga

A 29-player national team’s second string side has started a residential training camp in Shinyanga region’s Bulyanhulu ahead of the December 9 friendly match against its Burundi counterpart at the National Stadium.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani