G-Nako: Upendo ndio siri ya kubwa ya Weusi kuendelea kuwa pamoja
G-Nako amedai kuwa siri kubwa ya kwanini kundi la Weusi limeendelea kuwa pamoja na kufanya muziki mzuri ni upendo kati yao. Weusi ndio kundi la hip hop imara zaidi kwa sasa nchini na linaundwa na wasanii watano japo wanaosikika zaidi ni G-Nako, Joh Makini na Nick wa Pili. Wengine ni pamoja na Lord Eyez na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania30 Sep
G Nako aeleza sababu za ‘Weusi’ kutokufa
NA SHARIFA MMASI
RAPA mahiri kutoka kundi la Weusi lenye maskani yake mkoani Arusha, George Mdemu ‘G Nako’, amesema
upendo, umoja, kutodharau na kufanyia kazi ushauri wa mashabiki wao ndiyo misingi inayoliwezesha kundi hilo lisivunjike kama makundi mengine yaliyowahi kuwika kwa muda mfupi kabla ya kusambaratika.
“Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni.
“Makundi mengi yanasahau kwamba nidhamu ni kitu muhimu katika kila kazi, wengi wao...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s72-c/1.jpg)
WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI
![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s1600/1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s1600/1.jpg)
WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI
9 years ago
Bongo525 Aug
Weusi washoot video 2 mpya na Justin Campos, Afrika Kusini. Moja ni ya Joh Makini na nyingine ya G-Nako
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI GLOBAL WAONYESHA UPENDO, WALA PAMOJA CHAKULA CHA MCHANA
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
Wafanyakazi wa UNFPA, TUSHIKAME Pamoja Foundation na Projeckt Inspire waonyesha upendo kwa wazee Msimbazi Centre
Daktari kijana Brian Mushi wa Projeckt Inspire akionyesha upendo kwa mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kilichopo Msimbazi Centre mara baada ya kumpima Presha wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani.
Na Mwandisi wetu
WAZEE wanaoshi katika makazi ya Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam karibu na kanisa la Mtakatifu Maria wa Fatma, Msimbazi walipata faraja kubwa baada ya kutembelewa na makundi matatu ya jamii.
Makundi hayo ni pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa...
9 years ago
Bongo503 Nov
Ibra Da Hustler adai ili Nako 2 Nako irudi inahitaji management
![Ibra Da Hustler](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ibra-Da-Hustler-300x194.png)
Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amesema kuwa kundi hilo linaweza kurudi tena ila linahitaji management ya kulisimamia kutokana na muziki kubadilika.
Da Hustler alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wa kundi hilo hawakuwa na tofauti kubwa kama watu wanavyodhani.
“Ibra Da Hustler na Nako 2 Nako tupo fresh, sema tulikuwa na ups and downs ambazo ni za kawaida, lakini kiukweli tupo fresh tu,” alisema.
“Hatushindwi kurudi, sema game sasa hivi ni gumu so...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Kura ya siri, wazi kutumika pamoja
HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limemaliza mvutano wa Kanuni, hasa kuhusu kura ya wazi au ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha ibara na sura za rasimu ya Katiba, kwa kuamua kura zote zitumike kwa kadri mjumbe mmoja mmoja atakavyoona inafaa. Uamuzi huo uliamuliwa kwa kupiga kura ya wazi na siri na matokeo yalikuwa: