Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa UNFPA, TUSHIKAME Pamoja Foundation na Projeckt Inspire waonyesha upendo kwa wazee Msimbazi Centre

IMG_2450

Daktari kijana Brian Mushi wa Projeckt Inspire akionyesha upendo kwa mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kilichopo Msimbazi Centre mara baada ya kumpima Presha wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani.

Na Mwandisi wetu

WAZEE wanaoshi katika makazi ya Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam karibu na kanisa la Mtakatifu Maria wa Fatma, Msimbazi walipata faraja kubwa baada ya kutembelewa na makundi matatu ya jamii.

Makundi hayo ni pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI GLOBAL WAONYESHA UPENDO, WALA PAMOJA CHAKULA CHA MCHANA

Baadhi ya ‘askari’ wa kikosi cha Global Publishers wakielekea kupata msosi wa nguvu mchana huu. Taswira ya msosi wa nguvu uliokuwa mezani.…

 

9 years ago

Michuzi

Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) yawaandalia Wazee wasiojiweza sherehe ya Krismas na Mwaka Mpya Courtyard protea hotel jijini Dar es salaam

Taswira za shughuli malumu ya chakula cha mchana iliyofanyika pale Courtyard Protea hotel ya Sea View jijini Dar es salam  kwa ajili ya wazee wasiojiweza wanaosaidiwa na Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba, 2015. Shughuli iliandaliwa na uongozi wa  Protea na Rickshaw kwa ajili ya kusherehekea Krismas na mwaka mpya. Jumla ya wazee 60 na wajukuu wao  walikaribishwa na kusaidiwa na wafanyakazi wa Protea. Viongozi pamoja na wahudumu waliopokea wageni wao...

 

10 years ago

GPL

SHIGONGO AHIMIZA UPENDO NA BIDII KWA WAFANYAKAZI GLOBAL

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa Wikienda, Amani na Ijumaa, Eric Shigongo Bukumbi, akiongea na wafanyakazi leo.…

 

11 years ago

Dewji Blog

CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula

001 FISTULA

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.

Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...

 

10 years ago

GPL

DEREVA PIKIPIKI ANUSURIKA KIFO MSIMBAZI CENTRE, DAR

Umati wa watu ukiwa umelizunguka gari husika (halionekani). Gari lililogonga likiwa kituo cha petroli. KIJANA mmoja dereva wa pikipiki, ambaye jina lake halikufahamika,  leo amenusurika kufa katika ajali maeneo ya Msimbazi Center jijini Dar es Salaam  baada ya kugongwa na gari dogo. (Na Gabriel…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Excel yasaidia kituo cha watoto Msimbazi Centre

KAMPUNI ya Excel Management and Outsourcing Limited, imetenga sh milioni 70 mwaka huu kwa ajili ya kusaidia jamii nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Deogratius Kilawe, alieleza hayo jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA AJALI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR LEO

Watu wakishuhudia gari lililogongwa. Toyota Prado lililogonga gari dogo likishuhudiwa na wananchi.
Sehemu ya…

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA WANAWAKE NA WATOTO MJINI CANBERRA NCHINI AUSTRALIA WAONYESHA NIA YA KUJA KUFANYA KAZI TANZANIA

sa1Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mama Elizabeth Chatham, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Caniberra nchini Australia inayotoa huduma ya Afya ya Mama, vijana na watoto mara baada ya kufika eneo la hospitali kwa madhumuni ya kujionea namna bora yautoaji huduma. Mama Salma yupo nchini Australia akifuatana na mumewe Rais Jakaya Kikwete kwenye ziara rasmi ya kiserikali nchni humo.sa2Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana. Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani