DEREVA PIKIPIKI ANUSURIKA KIFO MSIMBAZI CENTRE, DAR
Umati wa watu ukiwa umelizunguka gari husika (halionekani). Gari lililogonga likiwa kituo cha petroli. KIJANA mmoja dereva wa pikipiki, ambaye jina lake halikufahamika, leo amenusurika kufa katika ajali maeneo ya Msimbazi Center jijini Dar es Salaam baada ya kugongwa na gari dogo. (Na Gabriel…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMVUA YASABABISHA AJALI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR LEO
10 years ago
GPL
ANUSURIKA KUUAWA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI MAGOMENI, DAR
11 years ago
GPL24 Mar
5 years ago
Michuzi
MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Excel yasaidia kituo cha watoto Msimbazi Centre
KAMPUNI ya Excel Management and Outsourcing Limited, imetenga sh milioni 70 mwaka huu kwa ajili ya kusaidia jamii nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Deogratius Kilawe, alieleza hayo jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Magari yaua dereva wa bajaji, pikipiki
DEREVA wa bajaj, Frank Satrun (26), mkazi wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia juzi baada ya kugongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...
10 years ago
GPLMWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO
11 years ago
GPLDEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI
10 years ago
Vijimambo
AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA,DEREVA ANUSURIKA KUFARIKI




Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.