WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA WANAWAKE NA WATOTO MJINI CANBERRA NCHINI AUSTRALIA WAONYESHA NIA YA KUJA KUFANYA KAZI TANZANIA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mama Elizabeth Chatham, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Caniberra nchini Australia inayotoa huduma ya Afya ya Mama, vijana na watoto mara baada ya kufika eneo la hospitali kwa madhumuni ya kujionea namna bora yautoaji huduma. Mama Salma yupo nchini Australia akifuatana na mumewe Rais Jakaya Kikwete kwenye ziara rasmi ya kiserikali nchni humo.Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWafanyakazi wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania
Wafanyakazi wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais Mhe. Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina mama wajawazito na watoto.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia afya za wanawake, vijana na watoto wa Hospitali hiyo Liz Chatham wakati akiongea na Mhe. Mama Kikwete na ujumbe wake walipotembelea Hospitali...
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Wafanyakazi wa Hospitali ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi Tanzania ili kumuunga mkono Mama Salma Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.(Picha na IKULU).
Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia
Wafanyakazi wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais Mhe. Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina...
9 years ago
MichuziWafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania
10 years ago
Bongo511 Sep
Kanye West alazwa hospitali nchini Australia
9 years ago
Michuzi17 Aug
WATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI, WELEDI NA UBUNIFU
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara, Idara, Wakala,Taasisi, Halmashauri wako jijini Arusha kujadili mafanikio na changamoto za Serikali mtandao.
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari akitoa ufafanuzi kuhusu Serikali Mtandao kwa washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao unaofanyika katika...
10 years ago
MichuziWafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker
Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Virusi vya Corona: Wanasayansi nchini Australia waanza kufanya majaribio ya chanjo mbili
5 years ago
MichuziWafanyakazi Wanawake wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii watoa msaada wa vifaa tiba Hospitali ya Palestina