Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


gari hizi, huwaelezi kitu akinadada

Miaka 20 iliyopita ilikuwa ni nadra kukutana na mwanamke anaendesha gari na wachache waliomudu kuwa na chombo hicho walionekana kuwa na uwezo wa hali ya juu

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI HIZI, KUNA KITU

Ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Nganga na Fuso yakiwaka moto. KWANZA kabisa tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai, hakika yeye anastahili kuabudiwa kila siku.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kuwataka wasomaji wangu kutafakari kwa kina hizi ajali za mabasi zinazotokea mara kwa mara katika barabara za nchi yetu. Kwa muda wa siku zisizozidi kumi na nane zimetokea ajali mbaya tatu za mabasi na kusababisha Watanzania wenzetu zaidi...

 

11 years ago

Bongo5

Kuna kitu cha kujifunza katika video hizi 2 mpya za Burundi zinazochezwa Trace TV

Tasnia ya muziki nchini Burundi ina jambo la kusherehekea mwezi huu baada ya video mbili za wasanii wa huko kupitishwa na kuanza kuchezwa kwenye kituo maarufu cha muziki cha Trace Urban TV. Hiyo ni mara ya kwanza kwa wasanii wa Burundi. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Jigi Jigiwe’ ya Happy Famba na Katoto Rmx ya […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

9 years ago

Vijimambo

Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari

By Shaban Lupimo, Mwananchi
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.

Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.

Hata hivyo, hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani