Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LA LULU LAIBUA MAZITO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP) iliyoandikwa kwenye kadi hiyo ni Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania. Gari ya staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ aina ya Toyota Rav...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sakata la makontena 2,431 laibua mazito

Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (Taffa), kimedai kuwa ‘mchezo’ wa kutoa makontena 2,431 bandarini bila kulipiwa tozo ya utumiaji wa bandari umefanywa na baadhi ya watendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na baadhi ya wafanyakazi wa benki za CRDB na NMB zenye mikataba na mamlaka hiyo.

 

10 years ago

GPL

GARI LA DUDE LAIBUA MSALA MAPYA!

Stori: Mayasa Mariwata Kumbe! Lile gari aina ya Toyota Vitz la staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambalo hivi karibuni lilikamatwa kwa msala wa kuhusika na ujambazi jijini Dar, limeibua mapya likiwa bado linashikiliwa na polisi kwenye Kituo cha Kijitonyama a.k.a Mabatini. Habari za kifukunyuzi zinadai kwamba ndinga hilo si mali ya Dude kama ilivyoelezwa awali, bali ni la mwanamke...

 

11 years ago

GPL

LULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO

Na Waandishi Wetu
SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito. Lulu alikaa Gereza la Segerea kwa takribani miezi kumi baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ aliyefariki dunia Aprili 7, 2012.
Nyota huyo wa Filamu ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Lulu Funguka Mambo Mazito Kuhusu Mwanaye!

Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!

Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya mitandao ya kijamii kuchafuka kwa habari za binti yake na wanaume hasa wa watu huku mwenyewe (Lulu) akiwa nyumbani kwake Mbezi-Beach jijini Dar akiwa hana hili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Agizo la JK Kilosa laibua mapya

KAULI ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa hivi karibuni kwa uongozi wa Wilaya ya Kilosa mkoani hapa kuhakikisha wamepima viwanja ndani ya wiki moja kuwagawia wahanga wa mafuriko na kuwasaidia ujenzi,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani