LULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO

Na Waandishi Wetu SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito. Lulu alikaa Gereza la Segerea kwa takribani miezi kumi baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ aliyefariki dunia Aprili 7, 2012. Nyota huyo wa Filamu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE
11 years ago
GPL
GARI LA LULU LAIBUA MAZITO
11 years ago
TheCitizen18 Feb
I quarrelled with Kanumba: Lulu
11 years ago
GPL
LULU: SITESWI NA KANUMBA
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Mama Lulu Funguka Mambo Mazito Kuhusu Mwanaye!
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya mitandao ya kijamii kuchafuka kwa habari za binti yake na wanaume hasa wa watu huku mwenyewe (Lulu) akiwa nyumbani kwake Mbezi-Beach jijini Dar akiwa hana hili...
11 years ago
GPL
LULU KIGUGUMIZI KANUMBA DAY
11 years ago
GPL
LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Lulu akana kumuua Kanumba
MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekana shitaka linalomkabili la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, aliyefariki dunia alfajiri ya Aprili 7, mwaka 2012. Licha ya kukana...
10 years ago
GPL
LULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA