Gari lamuua kondakta wake
KONDAKTA wa gari lenye namba za usajili T 713 AWJ Fuso, mkazi wa Kurasini Chang’ombe, Athuman Khatibu (20), amefariki dunia baada ya kudondoka na kukanyagwa na tairi la nyuma la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jan
Gari lamshinda dereva, lamuua
DEREVA wa lori, Said Bakari amekufa papo hapo na utingo wake kujeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akiendesha kumshinda na kuacha njia na kisha kupinduka.
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
11 years ago
GPLKONDAKTA WA UDA ANASWA AKIPANDISHA NAULI
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Tyga ampa gari mpenzi wake Kylie
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tyga juzi amemnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon, kama zawadi ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa.
Mrembo huyo juzi alitimiza miaka 18 juzi. Zawadi hiyo ilimshtua kutokana na kutotegemea kupata zawadi kama hiyo kutoka kwa mpenzi huyo.
“Ni bonge la zawadi kwa upande wangu, sikutarajia kupokea zawadi kama hii, Tyga ameonesha upendo wa dhati kutoka kwangu,” alisema Kylie.
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwigulu awanunulia wananchi wake gari la kubebea wagonjwa
Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wapiga kura wake na wananchi wa kata ya Mtoa tarafa ya Shelui ambapo pamoja na mambo mengine, alihimiza ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Kebwe Stephen Kebwe (MB) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mgongo tarafa ya Shelui jimbo la Iramba magharibi ambapo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Rick Ross adaiwa kuiba gari la mke wake
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, William Roberts ‘Rick Ross, amekanusha kuhusika katika wizi wa gari ya mke wake aina ya BMW B7 lililokuwa likitumiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 9.
Msanii huyo na mke wake, Tia Kemp, walilinunua gari hilo kwa ajili ya mtoto wao kwenda nalo shule, lakini mara kwa mara Rick Ross alikuwa akipenda kulitumia kitendo kilichokuwa kikizua ugomvi kati yao wa mara kwa mara.
Mwishoni mwa wiki iliyopita gari hilo lilipotea katika...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Paa lamuua fundi seremala
FUNDI Seremala Ramadhani Hassan (52), maarufu Pilipili, mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam amefariki dunia baada ya kuanguka juu ya paa la nyumba. Kamanda wa polisi Mkoa wa Ilala,...