KONDAKTA WA UDA ANASWA AKIPANDISHA NAULI
Basi la Uda lililonaswa maeneo ya Manzese, Dar likiwatoza abiria nauli ya shilingi elfu moja kama malipo ya kwenda Mbezi, Mwisho. Kamera yetu ilishuhudia tukio la basi la Uda maeneo ya Manzese likiwatoza abiria nauli ya shilingi elfu moja kama malipo ya kwenda Mbezi , Mwisho wakati nauli halisi ya kwenda huko ni shilingi 500/= kutokea Manzese. Alipoulizwa kondakta wa basi hilo sababu za kuwatoza hivyo hakuwa na majibu sahihi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jun
USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Gari lamuua kondakta wake
KONDAKTA wa gari lenye namba za usajili T 713 AWJ Fuso, mkazi wa Kurasini Chang’ombe, Athuman Khatibu (20), amefariki dunia baada ya kudondoka na kukanyagwa na tairi la nyuma la...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Nauli za mabasi mikoani zashuka
10 years ago
Habarileo16 Apr
Sumatra 'yagoma' kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
10 years ago
Habarileo24 Dec
Wapongeza nauli Korogwe kupangwa
BAADHI ya wananchi wa mjini Korogwe wamepongeza uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wa kupanga viwango halali vya nauli kwa mabasi ya abiria yanayosafiri katika maeneo mbalimbali ndani ya wilaya hiyo.
9 years ago
Habarileo10 Dec
Watakaopandisha nauli kutupwa jela
WAMILIKI na mawakala wa usafiri wa mabasi yaendayo mikoani wameonywa kutopandisha nauli katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka na watakaobainika watachukuliwa hatua za kisheria, ikiwamo kufungwa jela.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Wamiliki wa mabasi wacharukia nauli
WAKATI wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.