Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapongeza nauli Korogwe kupangwa

BAADHI ya wananchi wa mjini Korogwe wamepongeza uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wa kupanga viwango halali vya nauli kwa mabasi ya abiria yanayosafiri katika maeneo mbalimbali ndani ya wilaya hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi Korogwe wapongeza jitihada za kuukabili  na Ugonjwa Wa Kipindupindu

 

Wakazi wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wamepongeza jitihada zilizofanywa za kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Wilaya ya Korogwe ilikuwa na wagonjwa wa kipindupindu 35 lakini sasa wamepungua hadi kufikia watano.

Ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya ya Korogwa ulikuwa ni tishio hasa baada ya kufikia wagonjwa zaidi ya 30.

 Baadhi ya shughuli za kiuchumi zilisimama kama vile mamalishe walivunga vibanda vyao kama sehemu ya kukabiliana na ugonwa huo.

Mkuu wa Wilaya hiyo Hafsa Mtasiwa...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA UALIMU KOROGWE, AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KOROGWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mtumishi wa umma asiyetaka kufuata maadili ya utumishi pamoja na maelekezo ya viongozi wake hafai kufanyakazi katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Aliyasema hayo jana jioni (Alhamisi, Machi 5, 2020) wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Korogwe na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa TTC Korogwe akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu alisema uaminifu na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Droo ya Europa Ligi kupangwa leo

Matokeo ya upangwaji wa droo ya timu 16 za ligi ya Europa zitafanyika leo nchini Uswisi

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ada elekezi sasa kupangwa vyuoni



SERIKALI imeanza kufanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga ada elekezi kwa programu zote zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini.

Jenister Mhagama - Naibu Waziri, Elimu na Ufundi Imesema mwongozo wa ada elekezi ulizinduliwa rasmi Machi 13, mwaka huu, na kwamba ada mpya zitaanza kutumika baada ya utaratibu wa mfumo huo mpya kukamilika.


Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo fainali klabu bingwa kupangwa leo

Droo ya kupanga Mechi za robo fainali za uefa champion ligi itafanyika leo Jijini Nyon Uswisi, kuanzia Saa 8 Mchana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu bigwa ulaya ,Europa kupangwa kesho

Droo ya kupanga ratiba ya nusu fainali ya klabu bigwa na ile ya Europa ligi itafanyika kesho mchana,mjini Nyon huko Uswisi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wadau wapongeza Going Bongo

Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifamba akiongea na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi filamu ya ‘Going Bongo’ uliofanyika jana Ijumaa.

Na Mwandishi wetu

WADAU mbalimbali waliofika kwenye  onyesho la kwanza la filamu  ya mtanzania anayeishi nchini Marekani  wametoa sifa kemkema kuhusu filamu hiyo  inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ kwamba wamewataka wasanii wa hapa nchini waige mfano wake.

Wakizungumza baada ya kutoka kuaitazama ndani ya ukumbi wa cimema wa Cinemax Ijumaa usiku...

 

9 years ago

Habarileo

Wasomi wapongeza ushindi wa Magufuli

WASOMI na wananchi wa kawaida wamesema ushindi wa Dk John Magufuli ni halali kwani matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanafanana na hali halisi na mapenzi waliyonayo Watanzania kwa mwanasiasa huyo.

 

9 years ago

Vijimambo

Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi

Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguziWAANGALIZI wa kimataifa waliokuwa wakifuatilia Uchaguzi Mkuu nchini uliofanyika Jumapili, wamesema uchaguzi huo ulikuwa huru, haki, uwazi na ulioelezea jinsi Watanzania walivyo.

Aidha, wamebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa umepangwa vyema na kufanyika kwa amani. Waangalizi hao wamepongeza Watanzania kwa kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kikatiba kwa kuwa na uchaguzi wa huru na amani kutawala licha ya kutokea kwa changamoto mbalimbali. Aidha, wamesema kuanzia kipindi chote cha kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani