Wakazi Korogwe wapongeza jitihada za kuukabili  na Ugonjwa Wa Kipindupindu
Wakazi wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wamepongeza jitihada zilizofanywa za kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Wilaya ya Korogwe ilikuwa na wagonjwa wa kipindupindu 35 lakini sasa wamepungua hadi kufikia watano.
Ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya ya Korogwa ulikuwa ni tishio hasa baada ya kufikia wagonjwa zaidi ya 30.
Baadhi ya shughuli za kiuchumi zilisimama kama vile mamalishe walivunga vibanda vyao kama sehemu ya kukabiliana na ugonwa huo.
Mkuu wa Wilaya hiyo Hafsa Mtasiwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
Habarileo24 Dec
Wapongeza nauli Korogwe kupangwa
BAADHI ya wananchi wa mjini Korogwe wamepongeza uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wa kupanga viwango halali vya nauli kwa mabasi ya abiria yanayosafiri katika maeneo mbalimbali ndani ya wilaya hiyo.
11 years ago
Mwananchi01 Aug
MAONI: Tujizatiti kuukabili ugonjwa wa ebola
5 years ago
MichuziWADAU WA MAZINGIRA WAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUENDELEZA MATUMIZI YA NIHATI JADIDIFU NCHINI
Wadau wa mazingira kutoka Shirika la FORUMCC wakiendelea na majadiliano leo Juni 25,2020 Mjini Morogoro ambao wamekutana kujadilia bajeti ya Wizara ya Nishati pamoja na jitihada zinazofanywa katika kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya wanachama wa FORUMCC wakiwa makini kufuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya nishati jadidifu pamoja na jitihada za Serikali katika kuendeleza sekta hiyo...
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Ugonjwa wa Ebola na jitihada za Serikali katika kupambana nao
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa Ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM
Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya homa ya hemoraji ikimaanisha ugonjwa wa kumwagika damu bila kuganda (Viral Haemorrhagic Fevers).
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, ugonjwa huu ni hatari na unasababishwa na...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/070615_cholera_THUMB_LARGE.jpg?width=650)
UGONJWA WA KIPINDUPINDU
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Jitihada elekezi siri ya ushindi wa vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi katika kipindi cha mlipuko wa ebola
Tarehe 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali ikiwa kwa mwaka huu ikibeba maudhui ya Focus, Partner, Achieve: An AIDS-free Generation yaani Elekeza, Jiunge na Pata: Kizazi kisicho na Ukimwi. Ujumbe unaokumbusha jamii kuwa ugonjwa wa Ukimwi kuwa bado ni tatizo linalohitaji jitihada endelevu na elekezi hata katika wakati wa milipuko ya magonjwa mengine katika jamii. Siku ambayo...
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Watu 27 waripotiwa kuwa na ugonjwa Kipindupindu jijini Arusha
Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu.
Mahmoud Ahmad Arusha
Jumla ya watu 27 waliripotiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu huku kati yao 6 walithibitishwa kuwa na ugonjwa wa kipindupindu. Na watano wamelazwa katika kituo cha Afya Levolosi.
Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu aliwataka wakazi wa jiji la Arusha kufuata kanuni za ugonjwa huo na kuwa waepuke kula vyakula sehemu zisizofaa.
Nkurlu alisema kuwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Serikali yatoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu nchini
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akitoa tamko kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Pichani chini kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Wizara ya Afya (Kaimu Mkurugenzi), Michael John.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla ametoa tamko kwa umma,...