MAONI: Tujizatiti kuukabili ugonjwa wa ebola
>Dunia ambayo sasa imekuwa kijiji kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia, inakabiliwa na janga jingine kubwa la ugonjwa wa ebola ambao unatishia uhai na maisha ya watu wengi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Wakazi Korogwe wapongeza jitihada za kuukabili  na Ugonjwa Wa Kipindupindu
Wakazi wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wamepongeza jitihada zilizofanywa za kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Wilaya ya Korogwe ilikuwa na wagonjwa wa kipindupindu 35 lakini sasa wamepungua hadi kufikia watano.
Ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya ya Korogwa ulikuwa ni tishio hasa baada ya kufikia wagonjwa zaidi ya 30.
Baadhi ya shughuli za kiuchumi zilisimama kama vile mamalishe walivunga vibanda vyao kama sehemu ya kukabiliana na ugonwa huo.
Mkuu wa Wilaya hiyo Hafsa Mtasiwa...
10 years ago
Mwananchi12 Jul
MAONI : Serikali ijipange kuukabili upungufu fedha za Ukimwi
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
TISHIO UGONJWA WA EBOLA
Kikosi kazi chaanza mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Tumechelewa Michezo ya Afrika, lakini tujizatiti
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Ugonjwa wa ebola unavyoitikisa Afrika
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Mungu inusuru Tanzania na ugonjwa wa ebola
10 years ago
Vijimambo26 Oct
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
MSF;Ugonjwa wa Ebola haudhibitiki tena
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Ebola:Damu ya waliopona kutibu ugonjwa