Gari yaangukia nyumba, yaua
MKAZI wa Oysterbay, Dar es Salaam, Abdul Hashimu (51), amefariki dunia baada ya gari lililokuwa likimwaga kifusi kupinduka na kuangukia kwenye nyumba aliyokuwa amelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUkqC2tYEL5AWwhWzStDf9ZOXdla92VnfQ2PuOywk395LVu4rHZJEivWhIzBOCgCGZHGcTUZaQYgxKPOBCkgkWz4/AJALI5.jpg)
AJALI YA GARI YAUA WATATU KOROGWE
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ajali ya gari yaua baba, mwanaye
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Ajali ya gari yaua watu watano Hai
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4xMX6XMvbnk9wYjoFBqNaaw8ttJgs-u*Tfr1xOTXANFTYw-cvBgc6PJdZ6NNwWlcgIEg1V9qpqzLbRZMOvsxX9A/MWANAME.jpg)
AJALI YA GARI YAUA MBEZI JIJINI DAR
9 years ago
Habarileo19 Nov
Nyumba yaanguka, yaua 2
WATOTO wawili, akiwemo mwanafunzi wa shule ya msingi Mkwese wilayani Manyoni mkoani Singida, wamekufa baada ya kuangukiwa na nyumba ya tembe kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kijijini hapo.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Mvua yaua, yaezua nyumba 62
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba
11 years ago
Habarileo14 Feb
Mvua yaua mmoja, yaezua nyumba 85
MVUA zimeleta maafa mkoani Kilimanjaro baada ya mtu mmoja kufariki dunia sanjari na nyumba zaidi ya 85 kuezuliwa mapaa. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga, alisema kaya takribani 85 zimekosa makazi. Aidha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibohehe, na Shule ya Msingi Kishare wamekosa pa kusomea kutokana na baadhi ya madarasa kuezuliwa mapaa kwa upepo.