Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Garissa:Vyombo vya usalama vilizembea?

Shambulio la Chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya lilitambulika kabla

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Paris:'Vyombo vya habari vilibagua Garissa'

Wasomaji kote duniani wazomea vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu ubaguzi wa uandishi wa shambulizi la kigaidi la Garissa Kenya ambapo wanafunzi 147 waliuawa

 

9 years ago

Habarileo

Aridhishwa na vyombo vya usalama

PAMOJA na changamoto ya uhaba wa vitendea kazi na mazingira magumu katika utekelezaji wa majukumu yao, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea kuridhishwa na namna vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotekeleza majukumu yake katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa mkoa Kigoma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vyombo vya habari,usalama vyakutana TZ

Huenda hali ya kunyoosheana vidole kati ya vyombo vya habari na vya usalama, ulinzi na sheria ikakoma.

 

10 years ago

Mtanzania

Msigwa avishangaa vyombo vya usalama

Mchungaji Peter Msigwa

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa

NA RAYMOND MINJA, IRINGA
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema), amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupotosha umma na kuhodhi kwa nguvu mchakato wa Katiba Mpya ni wazi vyombo vya usalama havifanyi kazi yake.
Kutokana na hali hiyo amesema kuna hatari Taifa likaingia katika mgogoro baina ya wananchi na Serikali ambayo imeshindwa kuheshimu mawazo yao kuhusu mchakato huo.
Msingwa alitoa kauli hiyo juzi...

 

9 years ago

Michuzi

NITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI

MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo huku akibainisha kuwa iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, basi Serikali yake itahakikisha inaboresha maslahi ya watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini kutokana na kutambua mchango wao katika kulinda amani ya nchi yetu.

Dkt Magufuli alisema kuwa anataka kuona watumishi wa jeshi hilo wanakuwa na mishahara mizuri na hiyo itawezesha kufanya kazi ya ulinzi na usalama wa nchi kwa ufanisi zaidi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Bilal avipasha vyombo vya ulinzi na usalama, waandishi wa habari


NA WILLIAM SHECHAMBO
MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama  na waandishi wa habari nchini kushirikiana  katika majukumu yao ya kazi ili kulinda amani ya nchi.
Pia amezitaka taasisi hizo kuzingatia mipaka yao na  katika utendaji ili kuepuka migongano au chuki zinazoweza kutokea wakati wa kutimiza wajibu wao kazini.
Alitoa wito hiyo katika hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam,  jana, alipokuwa akifungua  mkutano  wa mashauriano  kati ya vyombo vya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO



Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani