Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEDIOSE MUKULASI NA DORICE MBOYERWA WAFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA BUKOBA.

Ni siku ya historia katika maisha yao ya hapa duniani Bw Gediose Mukulasi na Bi Dorice Mboyerwa,kwani wameingia katika mkataba ambao hakuna miongoni mwao anaweza kuuvunja mpaka hapo mmoja wao kwa mapenzi ya mungu anaweza kukutwa na mauti.Ilikuwa ni furaha, nderemo na vifijo katika kanisa la Kikatoliki Cathedral Bukoba mjini mbele ya waumini na hakimu wa kiroho walipotamka na kukubaliana kuishi pamoja milele.Baada ya hapo sherehe kubwa ya kuwapongeza ilifanyika katika ukumbi wa Lake hotel...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nahodha: Kifungo cha maisha gerezani

Mahakama ya rufaa nchini Korea Kusini imempata na hatia ya kuua nahodha wa feri iliyozama na kumhukumu kifungo cha maisha gerezani

 

10 years ago

BBCSwahili

230 wahukumiwa kifungo cha maisha Misri

Watu 230 wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuhusika katika harakati za kuiondoa Serikali ya Hosni Mubarak madarakani.

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA CHARLES MIHAYO ALIYEUWA WATOTO WAKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

 Photo: Mihayo will serve a minimum of 31 years in prison for murdering his daughters. (AAP: Julian Smith)Photo: Indianna, 3, (left) and Savannah, 4, 
A Melbourne man who murdered his two young daughters by smothering them with a pillow has been sentenced to life in jail.

Charles Mihayo, 36, smothered his daughters Savannah, 4, and Indianna, 3, at his unit at Watsonia in April.

He pleaded guilty to the killings in August and was today sentenced in the Supreme Court to a minimum of 31 years in...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA IMEMUHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA JELA MCHUNGAJI WA KANISA LA TANZANIA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Athanas Ngomai (30), baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake mwenye umri wa miaka 15.

Pia, mahakama hiyo imetaka mchungaji huyo amlipe fidia ya Shilingi  milioni 2 mlalamikaji ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole iliyoko Ukonga. 
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Ngomai alianza kumbaka mtoto huyo akiwa na umri wa miaka kumi na moja, wakati huo akisoma darasa la...

 

9 years ago

BBCSwahili

ICC yapunguza kifungo cha Katanga

Majaji wa rufaa mahakama ya ICC wamepunguza hukumu aliyopewa kiongozi wa zamani wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga.

 

11 years ago

Vijimambo

Pistorius aombewa kifungo cha nyumbani

Idara ya kurekebisha tabia nchini Afrika Kusini inataka Oscar Pistorius apewe kifungo cha nyumbani cha miaka mitatu kwa kumpiga risasi na kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

Bwana Joel Maringa afisa anayehusika na masuala ya urekebishaji tabia aliiambia mahakama mjini Pretoria kuwa hawamuadhibu tu Pistoruiis bali pia wanataka kumbadili kitabia akisema kuwa anaweza kutoa huduma za jamii kwa saa 16 kwa mwezi.

Awali daktari wa Pistorius anayehusika na matatizo ya akili Lore Hartzenberg aliiambia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kanye West apokea kifungo cha nje

Kanye West,alifikishwa mahakamani kwa kosa la kumshambulia mpiga picha katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Los Angeles.

 

11 years ago

Habarileo

Wizara yasisitiza programu ya kifungo cha nje

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa Jamii imesema ili urekebishaji wa wahalifu chini ya programu ya kifungo cha nje ufanikiwe, Serikali ichukue hatua za makusudi kueneza utekelezaji wa sheria ya huduma kwa jamii kwa nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani