Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEPF WASAINI MKATABA NA BODI YA WAHASIBU NA WAKAGUZI (NBAA) WA UWEKEZAJI WA PAMOJA KATIKA ENEO LA BUNJU MJINI DAR

Mfuko wa Pensheni wa GEPF umesaini mkataba wa uwekezaji na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) katika eneo la Bunju. Uwekezaji huo utakaohusisha kumbi za mikutano (Conference Halls) zenye uwezo wa kuchukua watu Zaidi ya 1,200, migahawa (Restaurants), Hoteli yenye hadhi ya kimataifa yenye vyumba Zaidi ya 102, Maktaba, Bwawa la kuogelea (Swimming Pool) pamoja na sehemu za mazoezi (Gymnasium) Uwekezaji huo utagharimu Zaidi ya shilingi Bilioni 10 za kitanzania na unategemewa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahafali ya 36 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) yafana

Baadhi ya wahitimu wa National Board of Accountants and Auditors (NBAA)  wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.) Mkurugenzi wa Bodi ya NBAA Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kabla yakumkaribisha mgeni rasmi wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA...

 

9 years ago

Michuzi

TANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa mbele ya wadau wa ujenzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kukutana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam mkataba uliosainiwa kati ya Tanroads na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam leo.Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki...

 

11 years ago

Michuzi

MAGEREZA NA GEPF WATILIANA MKATABA WA UWEKEZAJI

Na Deodatus Kazinja-PHQ
Jeshi la Magereza nchini kupitia Shirika lake la uzalishaji mali (Prisons Corporation Sole) limetiliana Mkataba wa uwekezaji na Mfuko wa Jamii wa GEPF ambapo majengo ya vitega uchumi yatajengwa katika maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro na Karanga Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Tukio hilo la utiwaji sahini mkataba huo limefanyika leo Alhamis 29, 2014 katika ukumbi wa mikutano ulioko Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es salaam. Akiongea katika hafla hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wahasibu 813 wafaulu mitihani ya NBAA

Watahiniwa 813 ambao ni sawa na asilimia 14.3, wamefaulu mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) iliyofanyika Novemba.

 

10 years ago

Michuzi

GEPF KWA KUSHIRIKANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde wakifurahia jambo pamoja na wawakilishi kutoka taasisi zao,wakati wa kutiliana saini...

 

10 years ago

GPL

GEPF KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM… ...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana. Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic ...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA NYUMBA ZINAZOJENGWA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU B JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba 851 zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) huko Bunju B katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.   Waziri Magufuli ambaye aliambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Eng. Mussa Iyombe, ametembelea eneo hilo ambalo tayari kuna nyumba 130 zinazoendelea kujengwa katika hatua mbali mbali.   Akionyesha kuridhishwa kwake, Waziri Magufuli ameipongeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani