Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGEREZA NA GEPF WATILIANA MKATABA WA UWEKEZAJI

Na Deodatus Kazinja-PHQ
Jeshi la Magereza nchini kupitia Shirika lake la uzalishaji mali (Prisons Corporation Sole) limetiliana Mkataba wa uwekezaji na Mfuko wa Jamii wa GEPF ambapo majengo ya vitega uchumi yatajengwa katika maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro na Karanga Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Tukio hilo la utiwaji sahini mkataba huo limefanyika leo Alhamis 29, 2014 katika ukumbi wa mikutano ulioko Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es salaam. Akiongea katika hafla hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

GEPF WASAINI MKATABA NA BODI YA WAHASIBU NA WAKAGUZI (NBAA) WA UWEKEZAJI WA PAMOJA KATIKA ENEO LA BUNJU MJINI DAR

Mfuko wa Pensheni wa GEPF umesaini mkataba wa uwekezaji na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) katika eneo la Bunju. Uwekezaji huo utakaohusisha kumbi za mikutano (Conference Halls) zenye uwezo wa kuchukua watu Zaidi ya 1,200, migahawa (Restaurants), Hoteli yenye hadhi ya kimataifa yenye vyumba Zaidi ya 102, Maktaba, Bwawa la kuogelea (Swimming Pool) pamoja na sehemu za mazoezi (Gymnasium) Uwekezaji huo utagharimu Zaidi ya shilingi Bilioni 10 za kitanzania na unategemewa...

 

10 years ago

Michuzi

TIB NA TAMISEMI WATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

TIB Development Bank, taasisi kuu ya fedha nchini katika maendeleo, pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wametia saini makubaliano ya ushirikiano (MOU) ya ufadhili wa miradi ya miundombinu kwenye Serikali za Mitaa.
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini na Mh. Jumanne Sagini, Katibu Mkuu TAMISEMI na Bw. Peter Noni, Mkurugenzi Mtendaji, TIB Development Bank yanaimarisha msingi wa taasisi hizi mbili wa uboreshwaji mifumo na utoaji wa huduma bora kwa jamii...

 

9 years ago

Michuzi

TGDC NA KAMPUNI YA TOSHIBA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAELEWANO (MOU) WA UTAFUTAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI

Na Benedict Liwenga-MAELEZO. Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC) pamoja na Kampuni ya TOSHIBA ya nchini Japan zimetiliana saini Mkataba wa Maelewano wa kufanya tafiti kwa pamoja zinahusu maeneo yenye viashiria ya upatikanaji wa nishati ya jotoardhi. Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika Desemba 4, 2015 Jijini Dar es Salaam katika Ofisi za TGDC ambapo hatua hiyo itaiwezesha TGDC kuweza kupata msaada wa kitaalam ambao utaliwezesha shirika hilo kuweza kuchimba...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO KAZI CHA WATENDAJI WA SHIRIKA LA MAGEREZA NA GEPF CHAENDELEA LEO MKOANI MOROGORO



 Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine(wa kwanza kushoto) akiteta jambo na Watendaji Waandamizi wa Shirika la Magereza na GEPF kabla ya kutembelea katika eneo la Kihonda, Morogoro ambapo mradi wa Majengo ya vitega uchumi kwa ubia kati ya Shirika la Magereza na GEPF utakapojengwa(wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Bw. Festo Fute(wa pili kulia) ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga.

 

11 years ago

Michuzi

TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki (wa pili kushoto) akisaini Mikataba ya Makubaliano ya Uwekezaji na Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa,wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (wa pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Mh. Yohana Balele (kushoto).Wanaoshuhudia ni Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda pamoja na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),Mh. Aggrey Mwanri.na Kulia ni Mwenyekiti wa Kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF KWA KUSHIRIKANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde wakifurahia jambo pamoja na wawakilishi kutoka taasisi zao,wakati wa kutiliana saini...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF WAANZISHA MPANGO WA GEPF DIASPORA SCHEME

Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora,Bi Rosemary Chambe Jairo akifungua rasmi mkutano wa Watanznia waishio nchini Botswana wakati walipokutana na Ujumbe kutoka Mfuko wa GEPF ulikuwa ukiitambulisha mpango wa GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) nchini humo,hivi karibuni.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Botswana,Bw Kisasi akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.Mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka Mfuko wa...

 

10 years ago

GPL

GEPF KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM… ...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA KUANZA KUFAIDIKA NA MFUKO WA GEPF KUPITIA MPANGO WA ‘GEPF DIASPORA SCHEME’ (GDS)

Ujumbe wa Mfuko wa GEPF nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Watanzania waishio nchini Botswana wakiongozwa na Meneja Mahusiano wa Benki ya FNB Botswana, Bibi Patricia Mpelega (wa pili kushoto) wakati wakielekea kwenye tawi (Branch) la benki hiyo kwaajili ya uzinduzi wa akaunti maalum ya kuwasilisha michango kwa Watanzania wainshio nchini humo, kwa kujiwekea akiba zao za baadae.Mkuu wa Kitengo cha Masoko kutoka Mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina (wa tatu kulia) akimpa maelezo mafupi juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani