TGDC NA KAMPUNI YA TOSHIBA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAELEWANO (MOU) WA UTAFUTAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI
Na Benedict Liwenga-MAELEZO. Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC) pamoja na Kampuni ya TOSHIBA ya nchini Japan zimetiliana saini Mkataba wa Maelewano wa kufanya tafiti kwa pamoja zinahusu maeneo yenye viashiria ya upatikanaji wa nishati ya jotoardhi. Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika Desemba 4, 2015 Jijini Dar es Salaam katika Ofisi za TGDC ambapo hatua hiyo itaiwezesha TGDC kuweza kupata msaada wa kitaalam ambao utaliwezesha shirika hilo kuweza kuchimba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA UENDELEZAJI JOTOARDHI HAPA NCHINI YATOA ELIMU YA NISHATI YA JOTOARDHI KWA WAKAZI WA KISAKI, MOROGORO VIJIJINI
10 years ago
MichuziTIB NA TAMISEMI WATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini na Mh. Jumanne Sagini, Katibu Mkuu TAMISEMI na Bw. Peter Noni, Mkurugenzi Mtendaji, TIB Development Bank yanaimarisha msingi wa taasisi hizi mbili wa uboreshwaji mifumo na utoaji wa huduma bora kwa jamii...
9 years ago
VijimamboTGDC, TANESCO, WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU MIFUMO MBALIMBALI YA BIASHARA KWA SOKO LA JOTOARDHI NCHINI.
9 years ago
MichuziTGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI
10 years ago
MichuziTGDC yaendelea na Kampeni ya kuelimisha Umma kuhusu Jotoardhi mkoani Mbeya
11 years ago
Michuzi28 Feb
DTBi - COSTECH WATILIANA SAINI YA USHIRIKIANO NA SILICON VALLEY YA MAREKANI
Bw.Carl Davis Jr, Rais wa Silicon Valley Black Chamber of Commerce na Eng. George Mulamula, Mkurugenzi Mtendaji wa DTBi (kulia) wakisaini MOU.
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI tanzu ya Tume ya sayansi na teknolojia ya DTBi-COSTECH na Silicon Valley Black Chamber of Commerce’s Center for Entrepreneurial Development (SVCED) wametiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano (MoU) ambapo pande zote mbili zitashirikiana kwa njia mbalimbali kwa ajili ya ukuaji wa wajasiriamali.
Mkataba huo, kati ya DTBi na...
11 years ago
GPLDTBi - COSTECH WATILIANA SAINI YA USHIRIKIANO NA SILION VALLEY YA MAREKANI
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Tanzania, Japan watiliana saini ujenzi wa kituo cha ufundi stadi Ileje
Signing the grant contract, witnessed by Hon. Janet Mbene, Deputy Minister of Industry and Trade, and Hon. Rosemary Senyamule, Ileje District Commissioner. Front line from the left: Mr. Mussa Otieno, District Executive Director, Mr. Simon Mwango’nda, Executire Director of the recipient organisation, Integrated Rural Development Organisation, Mr. Kazuyoshi Matsunaga, Chargé d’affaires of the Embassy of Japan.
Na Mwandishi wetu
MKATABA wa Ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ufundi stadi katika...