Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Germany mabinwga wapya wa kombe la dunia 2014

 Germany ndio mabingwa wa kombe la Dunia  2014 FIFA World Cup, wakinyakua kombe kwa mara ya nne katika historia yao baada ya kuwashinda  Argentina 1-0 kwa bao la muda wa nyoingeza la  Mario Gotze (pichani juu kushoto) katika uwanja wa Maracana huko Rio de Janeiro.
Mchezaji huyo aliyeingia kama mchezaji wa akiba aliweza kuua uwezekano wa kupigiana penati kwa bao lake la uamuzi baada ya timu hizo kutoka suluhu hadi mapumziko katika mchezo uliojaa kila aina ya msisimko. Bao lake hilo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ANGALIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE SASA - PORTUGAL VS GERMANY



KUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPA
Angalizo: Cheki ratiba hapo chini kujua muda na mechi zitazochezwa badae

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

BBCSwahili

Miji ya Kombe la dunia 2014

Brasilia mji mkuu wa Brazil ni moja ya miji ambako mechi za kombe la dunia zitafanyika. Vinjari mji huu:

 

11 years ago

Mwananchi

Mikato ya nywele ya ajabu Kombe la Dunia 2014

Kombe la dunia ni tukio kubwa zaidi la soka duniani. Fainali za Kombe la 2014 ambazo zilianza Juni 12 tayari zimemalizika Julai 13 wiki iliyopita huku timu ya Ujerumani ikitawazwa kuwa mabingwa wapya wa soka duniani.

 

11 years ago

GPL

UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2014

Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014. Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya mchezo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani