Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi ya chlorine yatumika Syria

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linasema kuwa gesi ya chlorine ilitumika kwenye shambulizi mwezi uliopita nchini Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Syria ilitumia Chlorine dhidi ya wakazi

Gesi ya Chlorine ilitumika kuwashambulia watu Kaskazini mwa Syria mwaka huu, kwa mujibu wa shirika la (OPCW)

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yadaiwa kutumia gesi ya sumu Syria

Ripoti kutoka kaskazini mwa Syria, zinasema kuwa wapiganaji wa Islamic State, wametumia gesi ya sumu kuwashambulia askari wa Kikurd.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki

Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib

 

5 years ago

BBCSwahili

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sidiria yatumika kusafirisha 'unga'

Mwanamke muuza dawa za kulevya anakabiliwa na adhabu ya kifungo baada ya kukutwa amesheheni dawa za kulevya katika sidiria yake

 

11 years ago

KwanzaJamii

TRUVADA yatumika kuzuia UKIMWI

WANAWAKE wanaofanya biashara ya kuuza miili na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi aina ya Truvada pichani juu kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo badala ya kutumia mipira ya kondomu. Baadhi ya wafanyabiashara ya ngono jijini katika maeneo ya Mwananyamala Hospitali, Komakoma na Vingunguti ambao walisema kuwa wanatumia dawa hizo kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya VVU ili kuwaridhisha wateja wasiopendelea mipira...

 

11 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuzima vurugu Moravian

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaJESHI la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Video yatumika ushahidi kesi ya Ponda

Shehe Ponda Issa PondaUPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani