IS yadaiwa kutumia gesi ya sumu Syria
Ripoti kutoka kaskazini mwa Syria, zinasema kuwa wapiganaji wa Islamic State, wametumia gesi ya sumu kuwashambulia askari wa Kikurd.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Feb
CCM yadaiwa kutumia migogoro kujiimarisha
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kujizolea viti vya udiwani kata mbalimbali ikiwamo Ludewa, Tarafa ya Kimamba, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro na Mkongoro, Wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jQh0cxvzu1U/VgDvLBSjn3I/AAAAAAAH6u4/NwdOSC5lfpU/s72-c/unnamed.jpg)
SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-jQh0cxvzu1U/VgDvLBSjn3I/AAAAAAAH6u4/NwdOSC5lfpU/s640/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jWgo50MeQJ8/VgDvE8wshEI/AAAAAAAH6uw/iWjd6cs7wpI/s1600/No%2BAttachName.bmp)
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania
“Kwa mara nyingine Symbion...
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Tahadhari kuhusu gesi za sumu
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuwa dunia nzima inapaswa kushughulikia mabadiliko ya hali ya anga haraka iwezekanavyo
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Gesi ya chlorine yatumika Syria
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linasema kuwa gesi ya chlorine ilitumika kwenye shambulizi mwezi uliopita nchini Syria.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Shule yajipanga kutumia gesi badala ya kuni
Shule ya Sekondari ya Galanos iliyopo jijini Tanga inakusudia kuondokana na matumizi ya kuni kwa ajili ya kupikia shuleni hapo na badala yake imepanga kunufaika na mradi wa ufugaji wa ng’ombe kwa kupata umeme wa biogas.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NNOl3lRXFNg/VA3DkkzLwoI/AAAAAAAGh-8/UG7ItRhJYsY/s72-c/unnamed.jpgh.jpg)
FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,
Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...
Stuttgart,Ujerumani,
![](http://2.bp.blogspot.com/-NNOl3lRXFNg/VA3DkkzLwoI/AAAAAAAGh-8/UG7ItRhJYsY/s1600/unnamed.jpgh.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya Exim yawaasa wateja wake kutumia fursa zilizopo katika sekta ya gesi nchini
Wito huo ulitolewa na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa benki hiyo, Bw. Dinesh Arora wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni...
9 years ago
MichuziZiara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.
Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100. Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania