Tahadhari kuhusu gesi za sumu
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuwa dunia nzima inapaswa kushughulikia mabadiliko ya hali ya anga haraka iwezekanavyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
IS yadaiwa kutumia gesi ya sumu Syria
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Ufaransa yaonya kuhusu shambulio la sumu
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
UG yatoa tahadhari kuhusu Al Shabaab
10 years ago
StarTV30 Sep
Uingereza yaondoa tahadhari kuhusu Kenya.
Uingereza imeondoa tahadhari iliyokuwea imetoa kwa raia wake dhidi ya Kusafiri Kenya.
Tahadhari hiyo kwa ukubwa likuwa inalenga maeneo ya mitaa ya mabanda, na baadhi ya maeneo ya Pwani ambako ilihofiwa kuwa raia wa kigeni wanalengwa kwa mashambulio ya kigaidi.
Hatua hiyo ya kuondolewa tahadhari kwa raia wa Uingereza kusafiri Kenya, inaanza kutekelezwa mara moja.
Tahadhari hiyo ilikuwa imewekwa baada ya machafuko yaliyotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu yapata miaka saba...
10 years ago
Bongo Movies22 May
JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..
By:JB on Instagram
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-piIsDNxHqBo/XoiUukXcbXI/AAAAAAALmAc/kSYvwhG0TqIRdommiHl_XqNNwJTQ9suGwCLcBGAsYHQ/s72-c/3-2-768x512.jpg)
ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA CORONA BADO HAITOSHELEZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-piIsDNxHqBo/XoiUukXcbXI/AAAAAAALmAc/kSYvwhG0TqIRdommiHl_XqNNwJTQ9suGwCLcBGAsYHQ/s640/3-2-768x512.jpg)
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila akizungumza katika kikao cha Wadau wa Afya kujadili utayari wa kukabiliana na Ugonjwa wa Virusi vya Corona kwa Mkoa wa Songwe ambapo imeagizwa elimu Zaidi itolewe.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/1-7.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza katika kikao cha Wadau wa Afya cha kujadili utayari wa kukabiliana na Ugonjwa wa Virusi vya Corona kwa Mkoa wa Songwe ambapo ameagiza elimu Zaidi itolewe.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2..jpg)
Wadau wa Afya wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Songwe (hayupo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2UP8OgfpSwM/VmFGW3ocAwI/AAAAAAAIKHI/CgLLpUMV8As/s72-c/Tcra%2B12.png)
TAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-2UP8OgfpSwM/VmFGW3ocAwI/AAAAAAAIKHI/CgLLpUMV8As/s1600/Tcra%2B12.png)
ISO 9001:2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMATAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE.
Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya...
11 years ago
Michuzi02 Aug
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Hisia tofauti kuhusu wataalamu wa gesi