Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA CORONA BADO HAITOSHELEZI


Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila akizungumza katika kikao cha Wadau wa Afya kujadili utayari wa kukabiliana na Ugonjwa wa Virusi vya Corona kwa Mkoa wa Songwe ambapo imeagizwa elimu Zaidi itolewe.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza katika kikao cha Wadau wa Afya cha kujadili utayari wa kukabiliana na Ugonjwa wa Virusi vya Corona kwa Mkoa wa Songwe ambapo ameagiza elimu Zaidi itolewe.
Wadau wa Afya wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Songwe (hayupo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

USHAURI KWA WANAHABARI KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA CORONA


 Siku ya Ijumaa Aprili 10, 2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilitoa taarifa kwa umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini. Katika taarifa hiyo Waziri wa afya alieleza idadi ya watu waliothibitishwa kupata maambukizi ya COVID-19 nchini kuwa ni 32. Kati ya hao, wagonjwa 24 wanaendelea na matibabu, watano wamepona na uwepo wa vifo vya wagonjwa watatu tangu ugonjwa huu ulipoingia nchini.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na familia za waliopoteza ndugu zao...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA WASITISHANE KUHUSU CORONA NA BADALA YAKE WACHUKUE TAHADHARI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) na badala yake waendelee kuchapa kazi na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na wataalamu.
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 Machi, 2020 alipohudhuria Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

 Kamati ya Uongozi wa Baraza la Wawakilishi ya CCM ikimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mchango wa Shilingi Milioni 50,000,000/-  kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya mapambano ya kukabiliana na Virusi vya Corona Nchini.Kati kati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh.Zubeir Ali Maulid, Mnadhimu wa Baraza hilo Mh. Ali Salul Haji, Mwakilishi Viti Maalum Kusini Unguja Mh. Salma Mussa Bilal na Mwakilioshi wa Jimbo la Kikwajuni Mh. Salum Jazira.  Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Zubeir...

 

9 years ago

BBCSwahili

Brussels bado katika hali ya tahadhari

Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel amesema hali ya tahadhari itaendelea kubaki kwa kiwango cha juu katika mji wa Brussels.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Bado kuna safari ndefu kuimaliza corona - WHO

Watu 106,000 wathibitishwa kuwa na maambukizo ndani ya saa 24.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.

 

5 years ago

Michuzi

MADEREVA CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Na WAMJW- MBEYA.

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuwaasa madereva wa vyombo vya usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.

Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Anyitike Mwakitalima wakati wa uhamasishaji kwa wananchi wa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani