Gesi yahujumiwa inufaishe wachache
JITIHADA za Serikali kuhakikisha rasilimali adimu ya gesi yenye fursa ya kutokomeza umasikini kwa Watanzania wote inanufaisha umma zaidi, zimeendelea kupingwa ili rasilimali hiyo inufaishe sehemu ndogo ya jamii.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Stupid Father yahujumiwa
FILAMU ya Stupid Father iliyotarajiwa kusambazwa mwanzoni mwa wiki iliyopita, imeghushiwa na kuingizwa sokoni kabla ya wahusika kufanya hivyo na kusababisha iliyo halali isisambazwe. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
‘Wahitimu wa kike bado wachache’
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema idadi ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume. Amesema serikali imekuwa ikifanya...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Kagasheki: Wachache wasilazimishe Katiba
11 years ago
BBCSwahili19 Apr
Wasichana wachache waachiliwa huru Borno
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Panya Road na keki inayoliwa na wachache
10 years ago
Mwananchi09 Mar
TFF isibadili kanuni kuwafurahisha wachache
11 years ago
Habarileo31 May
Wahitimu wa kike kidato cha 6 bado wachache
IDADI ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume na serikali imekuwa ikifanya juhudi za makusudi kukabiliana na changamoto hizo, kupandisha uwiano wa wanafunzi wa kike na kiume vyuoni kwa asilimia 50 kwa 50.
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kituo ch Mabasi Ubungo dhahabu inayonufaisha wachache
Koku David na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KITUO cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, (UBT), kilifunguliwa Desemba 6 mwaka 1999, lengo likiwa ni kutoa huduma nzuri kwa wasafiri na kuongeza mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Baada ya kufunguliwa kwa kituo hicho, kati ya mwaka 2004 mpaka 2008, ziliibuliwa tuhuma mbalimbali za ufisadi zikiwamo upotevu wa mapato, zilizokuwa zikiihusu Kampuni ya Smart Holdings ya familia ya kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),...