Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi yaleta mapinduzi makubwa ya umeme

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa, ifikapo mwezi ujao umeme unaotokana na gesi unaozalishwa nchini utafikia megawati 700 sawa na asilimia 70 ya umeme wote kwenye Gridi ya Taifa. Hayo yatakuwa ni mapinduzi makubwa kwani miaka mingi vyanzo vya maji ndivyo vilikuwa vikichangia kwa asilimia 70.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MASOKO YA MADINI SINGIDA YALETA MAPINDUZI M



Wachimbaji wadogo wa madini wakiendelea na shughuli za uchenjuaji wa madini katika machimbo ya dhahabu ya Sekenke Wilayani Iramba Mkoani Singida tarehe 17 Aprili, 2020.
Mkaguzi wa Migodi katika machimbo ya dhahabu yanayomilikiwa na Chama chaUshirika wa Wachimbaji Wadogo wa Madini Kisonga-Shelui (UWAWAKISHE), wilayaniIramba mkoani Singida, Mohammed Salum akielezea manufaa ya masoko ya madiniyaliyoanzishwa mkoani Singida kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mwenyekiti wa Chama cha...

 

10 years ago

GPL

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)

 

10 years ago

Dewji Blog

HUAWEI Tanzana yaleta mapinduzi ya mawasiliano nchini

002.HUAWEI

Mkurugenzi  wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akitoa mada katika  mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya  Mawasiliano kuhusiana na kampuni yake  kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma  ya kampuni hiyo kwa bei nafuu za simu.Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

004.HUAWEI

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya  Mawasiliano wakifatilia mada iliyokuwa ikitolewa na...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaleta teknolojia mpya matumizi ya gesi

KAMPUNI ya nishati inayomilikiwa na Watanzania, GH Energy Resources Limited, imeleta teknolojia mpya ya kupunguza matumizi ya gesi majumbani na kwenye biashara kwa lengo la kupunguza kasi ya uharibifu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mapinduzi makubwa ya viwanda

WIZARA ya Viwanda na Biashara imewasilisha bungeni bajeti yake inayoonesha mapinduzi makubwa katika viwanda, ikiwamo kuanza kwa miradi ya chuma ya Liganga na Mchuchuma na kiwanda cha kuua viluwiluwi vya mbu waenezao malaria.

 

11 years ago

Michuzi

MAPINDUZI MAKUBWA YAFANYIKA KWENYE BIASHARA YA MTANDAO


Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia  kupitia mtandao huu utaweza kutangaza chochote unachopenda umma ujue kwani tumethibitika kuwafikia watanzania wengi kwa siku pia hata watembeleaji wengi zaidi toka nchi za nje.
Timu ya  KAJO ITECH Kwa umakini mkubwa itaendesha mtandao huu wa CHOCHOTE pia kufanikisha kuwa ndio suluhisho kwa watanzania wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani