Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gharama za matibabu sasa kudhibitiwa

Dk Donan MbandoWIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeiagiza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia upya mpango wao wa kuongeza gharama za matibabu, vipimo na chakula na kisha kuuwasilisha wizarani hapo kwa ajili ya mashauriano kuepuka kuwaumiza wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

10 years ago

Mwananchi

Upotevu wa mapato sasa kudhibitiwa

Kuna kila dalili kuwa nchi za Malawi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Zambia, zitakubaliana na mpango wa Serikali wa kuanzisha kituo kimoja cha ukaguzi na utozaji wa ushuru wa forodha ili kuzuia upotevu wa mapato.

 

9 years ago

StarTV

Wagonjwa wadai kushindwa kumudu gharama Matibabu Kcmc Moshi

Gharama kubwa za matibabu katika hospitali ya rufaa ya KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zinadaiwa kuwaweka njia panda baadhi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma za tiba hospitalini hapo.

Baadhi ya wagonjwa hulazimika kutoroka hospitalini hapo na wengine kutelekezwa  na ndugu zao kutokana na gharama kubwa wanazopaswa kulipia.

Mtoto Frank aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wa idara ya Upasuaji ambaye alifanyiwa upasuaji wa tumbo hivi Karibu anatajwa kuwa ni miongoni mwa wagonjwa...

 

5 years ago

Michuzi

Mchungaji Rose achangia gharama za matibabu ya mtoto anayetibiwa JKCI



Mkuu wa kitengo cha Ustawi wa Jamii na Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum akimkabidhi Mr. Jackson Msilambo Tsh. 4,370,000/= zilizotolewa na Mchungaji Rose Shaboka kutoka kanisa la New Day Church kwa ajili ya gharama za matibabu ya mtoto wake anayetibiwa JKCI leo Jijini Dar es Salaam. Baba wa mtoto anayetibiwa katika ...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

9 years ago

StarTV

Madiwani Sengerema wapinga ongezeko la gharama za matibabu ya papo kwa papo

Madiwani  wilayani sengerema mkoani Mwanza wamepinga ongezeko la gharama ya matibabu ya papo kwa papo kutoka shilingi 1,500 hadi shilingi 3,000 kwa zahanati na shilingi 3000 katika kituo cha afya hadi shilingi 5,000 kwa madai kuwa haliendani na huduma inayotolewa.

Kukosekana kwa dawa za msingi, uhaba wa vifaa tiba, upungufu wa wauguzi na uchakavu wa miundo mbinu pia ni sababu ya kupinga ongezeko hilo.

Katika kikao cha kwanza cha madiwani wa halmashauri  ya Wilaya ya Sengerema na Buchosa cha...

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano kudhibitiwa

Vita KawawaKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama imeishauri Serikali, iandae Muswada wa Sheria utakaoweka utaratibu mahsusi wa watu kuandamana kwa kuzingatia, siku, muda na mahali ili kuondoa usumbufu kwa jamii kutokana na maandamano yasiyo rasmi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uhuru wa mtandao kudhibitiwa

Huku mataifa ya Afrika yakishinikiza uhuru wa kujieleza mataifa ya magharibi yameanza kudhibiti uhuru wa mtandao wa intanet.

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki kudhibitiwa

Serikali ipo katika mkakati wa kuandaa sheria ya kuwabana wafanyabiashara wanao agiza na kuingiza bidhaa nchini zisizo na ubora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani