Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upotevu wa mapato sasa kudhibitiwa

Kuna kila dalili kuwa nchi za Malawi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Zambia, zitakubaliana na mpango wa Serikali wa kuanzisha kituo kimoja cha ukaguzi na utozaji wa ushuru wa forodha ili kuzuia upotevu wa mapato.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Uozo Zaidi Bandarini  Saba matatani kwa upotevu wa mapato ya Sh. Bil. 47.4

 

Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watumishi saba kati ya 15 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania baada ya kubainika kuhusika na upotevu wa mapato ya Shilingi Bilioni 47.4  kutokana na Makontena 11,884 kutolewa bandarini bila malipo.

Pia magari 2,019 yanadaiwa kutolewa bandarini kinyemela na kusababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.

Mbali na makontena hayo ikumbukwe kuwa Desemba 7, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alibaini makontena mengine 2,431...

 

10 years ago

Habarileo

Gharama za matibabu sasa kudhibitiwa

Dk Donan MbandoWIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeiagiza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia upya mpango wao wa kuongeza gharama za matibabu, vipimo na chakula na kisha kuuwasilisha wizarani hapo kwa ajili ya mashauriano kuepuka kuwaumiza wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Habarileo

Mapato ya gesi sasa hadharani

WAKATI eneo la kujenga kiwanda cha kuchakata gesi itakayovunwa baharini likitangazwa kupatikana wiki hii, uvunaji utakapoanza Serikali itapata mapato makubwa kutokana na mikataba minono iliyoingiwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano kudhibitiwa

Vita KawawaKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama imeishauri Serikali, iandae Muswada wa Sheria utakaoweka utaratibu mahsusi wa watu kuandamana kwa kuzingatia, siku, muda na mahali ili kuondoa usumbufu kwa jamii kutokana na maandamano yasiyo rasmi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Madrassa kudhibitiwa Uingereza

Shule za Madrassa nchini Uingereza zinakabiliwa na udhibiti na ukaguzi chini ya mipango ya serikali iliochapishwa siku ya Alhamisi.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola kudhibitiwa mipakani

MAOFISA wa idara mbalimbali za Serikali zikiwemo za Uhamiaji, Polisi na Usalama wa Taifa kwa nchi za Tanzania na Kenya wameweka mikakati ya pamoja katika mipaka ya Isebania na Sirari katika kudhibiti wageni ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki kudhibitiwa

Serikali ipo katika mkakati wa kuandaa sheria ya kuwabana wafanyabiashara wanao agiza na kuingiza bidhaa nchini zisizo na ubora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani