Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghasia Afghanistan: Mwanamke anayenyonyesha waliofiwa na mama zao kwa shambulio

Firooza Omar, 27, ananyonyesha watoto wachanga waliofiwa na mama zao katika shambulio lililolenga chumba cha kujifungua kina mama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Shambulio Afghanistan: Vifo katika chumba cha kujifungua kina mama vyafikia 24

Idadi ya waliouawa katika shambulio lililotekelezwa na wanamgambo dhidi ya chumba cha kujifungua kina mama nchini Afghanistan imeongezeka na kufikia 24.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaumu Afghanistan kwa shambulio Kunduz

Marekani amesema wanajeshi wa Afghanistan ndio walioomba majeshi ya taifa hilo yashambulie kliniki iliyokuwa ikitumiwa na shirika la MSF mjini Kunduz.

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Ikiwa ni Siku ya Kina Mama Dunia, Hizi ni Jumbe za Baadhi Mastaa wa Bongo Movies kwa Mama Zao

Wema Sepetu

Today Happens to be Mother's Day.... And Since my mummy is the world's best mother it happens to also be her Birthday... Now that is nat just a coincidence, that is a Blessing... I jus get speechless trying to find the right words to say to this woman ryt here... But all in all is I jus wanna let u know on this special day that you are my Rock, my only pillar, the love of my life, you are all I got... And I wish u many more years of Life... I dont know what id do without you......

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni nani mwanamke huyu aliyeonekana Afghanistan?

Lakini picha ya hivi karbuni ya mwanamke akiwa amevalia nguo fupi imesambaza sana kwenye mitandao ya kijamii. Sababu kubwa? picha hii ni ya mwanamke akiwa mjini Kabul Afghanistan.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke raia wa Afghanistan aliyefanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Taliban

Fawzia Koofi alikuwa sehemu ya ujumbe katika awamu tatu na kukutana na wawakilishi wa Taliban mara mbili mjini Moscow na mara moja mjini Doha.

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

5 years ago

BBCSwahili

Anna Jarvis: Mwanamke aliyejuta kubuni siku ya mama duniani

Mwanamke aliyebuni siku ya mama, ambayo huadhimishwa katika nchi nyingi jumapili ya pili ya mwezi Mei,

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani