Glaucoma:Ugonjwa usio na dalili unaosababisha upofu
Glaucoma ni ugonjwa tata ambao huathiri seli za macho zinazosaidia kuona na huweza kusababisha mtu kupoteza uwezo wa kuona. Ni ugonjwa unaochangiwa na mgandamizo mkubwa ndani ya macho unaosababishwa na maji maji yanayoingia na kutoka kwenye jicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKIFUA KIKUU NI UGONJWA WA TATU UNAOSABABISHA VIFO VYA WATU WENGI HAPA NCHINI.
5 years ago
BBCSwahili15 May
Virusi vya Corona: Jinsi ugonjwa usio wa kawaida aina ya kawasaki unavyoathiri watoto
10 years ago
GPLVIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
GLAUCOMA “mwizi wa macho wa kimyakimya”
Mwezi Januari kila mwaka jumuiya za kimataifa uungana ili kuongeza uelewa na kujenga ufahamu juu ya ugonjwa wa Glaucoma. Kampeni hii ya mwezi mzima inalenga kuleta tahadhari na kuelimisha juu ya chanzo, sababu na madhara ya ugonjwa huo, kampeni hii pia ulenga kuutaka umma kuchukua hatua madhubuti kabla ugonjwa huu mbaya haujasababisha athari kubwa. Kutokana na asili ya ugonjwa huu imesababisha ujulikane kama “the sneak thief of sight”, yaani mwizi wa macho anayekuja kwa kunyata. Hii...
11 years ago
GPLMAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Je, mapenzi yana upofu?
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Upofu wa watawala utaliangamiza Taifa
“SINA kawaida ya kulizwa na mambo ya siasa, lakini katika kikao hicho nilishindwa kujizuia kulia. Sikupata maelezo ya maana ya kuwafanya watu wazima wafanye walivyofanya” Haya ni matamshi ya Baba...
9 years ago
Bongo524 Oct
Video: Davista ft. Mo Music — Upofu
10 years ago
BBCSwahili11 Oct
Utafiti:Viagra husababisha upofu.