Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLAUCOMA “mwizi wa macho wa kimyakimya”

Conjoined twins Apollo hospital

Mwezi Januari kila mwaka jumuiya za kimataifa uungana ili kuongeza uelewa na kujenga ufahamu juu ya ugonjwa wa Glaucoma. Kampeni hii ya mwezi mzima inalenga kuleta tahadhari na kuelimisha juu ya chanzo, sababu na madhara ya ugonjwa huo, kampeni hii pia ulenga kuutaka umma kuchukua hatua madhubuti kabla  ugonjwa huu mbaya haujasababisha athari kubwa. Kutokana na asili ya ugonjwa huu imesababisha ujulikane kama “the sneak thief of sight”, yaani mwizi wa macho anayekuja kwa kunyata. Hii...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Glaucoma:Ugonjwa usio na dalili unaosababisha upofu

Glaucoma ni ugonjwa tata ambao huathiri seli za macho zinazosaidia kuona na huweza kusababisha mtu kupoteza uwezo wa kuona. Ni ugonjwa unaochangiwa na mgandamizo mkubwa ndani ya macho unaosababishwa na maji maji yanayoingia na kutoka kwenye jicho.

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

9 years ago

GPL

MENINAH AOLEWA KIMYAKIMYA

Musa Mateja WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo, Risasi Mchanganyiko limetonywa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1WDGS8h ...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Magufuli achukua fomu kimyakimya

Tofauti na makada wengine wa CCM ambao walianza kwa kutangaza nia kisha baada ya kuchukua fomu kuzungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alichukua fomu kimyakimya bila kutaka kuzungumza lolote.Badala yake akasema atatafuta muda muafaka wa kuzungumza na vyombo vya habari baada ya kusoma fomu alizopewa na chama chake.Hata hivyo, kwa kifupi kabisa alisema endapo atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atatekeleza Ilani ya CCM na kuwaomba Watanzania wamuombee.Dk...

 

10 years ago

GPL

Okwi atua Dar kimyakimya

Kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi akiwasili nchini.
Na Saleh Ally
HUKU kukiwa na taarifa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuachana naye, kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi, ametua jijini Dar es Salaam kimyakimya. Okwi ametua kimyakimya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), hali inayosababisha mkanganyiko wa mambo. Wakati watu wengi wanaamini Yanga imeamua kuachana naye, kumekuwa na taarifa...

 

10 years ago

Vijimambo

Pinda:Nimetangaza urais kimyakimya

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametangaza rasmi kugombea urais wa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwakani huku akisema amejitangaza kimyakimya.

Pinda aliliambia Idhaa ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza juzi usiku kuwa atakuwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho watakao wania nafasi hiyo.

Pinda ambaye yupo mjini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi unazungumzia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika.

“Wamejitokeza wengi,...

 

11 years ago

GPL

MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif. Na Khadija Mngwai MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, ameamua kuachana na ukapera baada ya hivi karibuni kufunga pingu za maisha na mzazi mwenziye, anayejulikana kwa jina la mama Genevieve. Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif baada ya kufunga… ...

 

11 years ago

GPL

Brandts aondoka Dar kimyakimya

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts ameondoka jijini Dar es Salaam kurejea kwao Eindhoven nchini Uholanzi kuendelea na maisha.
Lakini Brandts ameondoka kimyakimya huku akionekana kufanya kila jambo siri kubwa kuhusiana na kuondoka kwake. Brandts alitimuliwa kuinoa Yanga baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Championi Jumatano… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Jairo, Nyoni wasafishwa kimyakimya

>Serikali imewasafisha aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo huku ikimpandisha cheo aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali Deo Mtasiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani