Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi atua Dar kimyakimya

Kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi akiwasili nchini.
Na Saleh Ally
HUKU kukiwa na taarifa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuachana naye, kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi, ametua jijini Dar es Salaam kimyakimya. Okwi ametua kimyakimya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), hali inayosababisha mkanganyiko wa mambo. Wakati watu wengi wanaamini Yanga imeamua kuachana naye, kumekuwa na taarifa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OKWI AONDOKA KIMYAKIMYA KWENDA KWAO UGANDA

Emmanuel Okwi akisubiri wapambe wake waliombebea mizigo huku simu ikiwa sikioni akiongea na mtu. Wapambe (nyuma)  na Okwi akiwa mbele wakielekea ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya abiria wanapopumzika.…

 

11 years ago

GPL

OKWI ATUA YANGA SC

Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE OKWI ATUA

Emmanuel Okwi. Kiungo mshambuliaji wa kimataifa  wa Yanga kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ametua hivi punde katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyererere akitokea nchini Uganda kwa ndege ya shirika la Rwanda Air.

 

11 years ago

GPL

Brandts aondoka Dar kimyakimya

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts ameondoka jijini Dar es Salaam kurejea kwao Eindhoven nchini Uholanzi kuendelea na maisha.
Lakini Brandts ameondoka kimyakimya huku akionekana kufanya kila jambo siri kubwa kuhusiana na kuondoka kwake. Brandts alitimuliwa kuinoa Yanga baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Championi Jumatano… ...

 

10 years ago

GPL

Kiiza atua Dar...

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI Hamis Kiiza raia wa Uganda, jana alitua nchini kwa ajili ya kufanya mchakato wa kumalizana na Simba, ambapo kauli aliyotoa na maandalizi ya Simba, vimeonyesha kuwa pande zote mbili hazina utani katika kujiandaa na msimu ujao wa 2015/2016. Simba ambayo imeshaweka wazi kuhusu kumsajili Kiiza aliyekuwa akiitumikia Yanga kwa miaka kadhaa, imeelezwa kuwa anatarajiwa kukabidhiwa nyumba...

 

11 years ago

GPL

MAXIMO ATUA DAR

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATUA DAR

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.  ...

 

11 years ago

GPL

Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...

 

10 years ago

GPL

T.I ATUA DAR MCHANA WA LEO

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ametua Dar mchana wa leo kutumbuiza katika tamasha la Serengeti Fiesta Dar usiku wa leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani