Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiiza atua Dar...

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI Hamis Kiiza raia wa Uganda, jana alitua nchini kwa ajili ya kufanya mchakato wa kumalizana na Simba, ambapo kauli aliyotoa na maandalizi ya Simba, vimeonyesha kuwa pande zote mbili hazina utani katika kujiandaa na msimu ujao wa 2015/2016. Simba ambayo imeshaweka wazi kuhusu kumsajili Kiiza aliyekuwa akiitumikia Yanga kwa miaka kadhaa, imeelezwa kuwa anatarajiwa kukabidhiwa nyumba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiiza atua rasmi Simba

Timu ya Simba imesema Mganda Hamisi Kiiza atakuwa chachu ya mafanikio katika msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

11 years ago

GPL

Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATUA DAR

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.  ...

 

11 years ago

GPL

MAXIMO ATUA DAR

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.…

 

10 years ago

GPL

Okwi atua Dar kimyakimya

Kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi akiwasili nchini.
Na Saleh Ally
HUKU kukiwa na taarifa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuachana naye, kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi, ametua jijini Dar es Salaam kimyakimya. Okwi ametua kimyakimya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), hali inayosababisha mkanganyiko wa mambo. Wakati watu wengi wanaamini Yanga imeamua kuachana naye, kumekuwa na taarifa...

 

10 years ago

GPL

T.I ATUA DAR MCHANA WA LEO

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ametua Dar mchana wa leo kutumbuiza katika tamasha la Serengeti Fiesta Dar usiku wa leo.

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba , Goran Kopunovic alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Hungary.…

 

10 years ago

GPL

KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri. Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa…

 

9 years ago

Michuzi

MWANAMZIKI,ARJUNI ATUA DAR LEO

Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani)juu ya ujio na kukutana na watu mbalimbali katika Ukumbi wa Viva Tower jijini Dar es Salaam na  Jumamosi atafanya shoo Zanzibar katika ukumbi wa Kendwa Rocks Beach Resort iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam.Mkuu Kitengo  wa kinywaji cha John Worker na Masoko na uboreshaji,Stanley Samtu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya udhamini wa mwanamziki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani