Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATUA DAR

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.  ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ ATUA DAR APATA MAPOKEZI YA NGUVU.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATUA DAR, APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAELFU


Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.

Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.


MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATUA BONGO, APOKELEWA KWA SHANGWE

STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond' alivyowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Julai 10, 2014 na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki wake pamoja na ndugu. Staa huyo alikuwa anarejea kutoka nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya zoezi la utoaji tuzo za BET.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATUA NCHINI NA KUPATA MAPOKEZI YA NGUVU

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Diamond alivyotua na kupokelewa kwa nguvu jijini Dar es Salaam Desemba 2, 2014 akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia jumla ya tuzo tatu.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana. Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa…

 

10 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATINUMZ ATUA JIJINI MWANZA KWA KISHINDO LEO

 Umati ulioijitokeza kumpokea Diamond Platinumz jijini Mwanza leo alipowasili na kundi lake la Wasafi tayari kusindikiza kwa burudani uzinduzi wa Radio Jembe FM jijini humo  Diamond aliwa na meneja wake Babu Tale (chini kushoto) baada ya kutua Mwanza Mashabiki wakimlaki Diamond Jiji la Mwanza lilisimama kwa muda. Picha zote kwa hisani ya G. Sengo

 

10 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea

1

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA).

2

Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.

3

Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

  Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.  …

 

10 years ago

GPL

Kiiza atua Dar...

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI Hamis Kiiza raia wa Uganda, jana alitua nchini kwa ajili ya kufanya mchakato wa kumalizana na Simba, ambapo kauli aliyotoa na maandalizi ya Simba, vimeonyesha kuwa pande zote mbili hazina utani katika kujiandaa na msimu ujao wa 2015/2016. Simba ambayo imeshaweka wazi kuhusu kumsajili Kiiza aliyekuwa akiitumikia Yanga kwa miaka kadhaa, imeelezwa kuwa anatarajiwa kukabidhiwa nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani