Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OKWI AONDOKA KIMYAKIMYA KWENDA KWAO UGANDA

Emmanuel Okwi akisubiri wapambe wake waliombebea mizigo huku simu ikiwa sikioni akiongea na mtu. Wapambe (nyuma)  na Okwi akiwa mbele wakielekea ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya abiria wanapopumzika.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Brandts aondoka Dar kimyakimya

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts ameondoka jijini Dar es Salaam kurejea kwao Eindhoven nchini Uholanzi kuendelea na maisha.
Lakini Brandts ameondoka kimyakimya huku akionekana kufanya kila jambo siri kubwa kuhusiana na kuondoka kwake. Brandts alitimuliwa kuinoa Yanga baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Championi Jumatano… ...

 

10 years ago

GPL

Okwi atua Dar kimyakimya

Kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi akiwasili nchini.
Na Saleh Ally
HUKU kukiwa na taarifa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuachana naye, kiungo mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi, ametua jijini Dar es Salaam kimyakimya. Okwi ametua kimyakimya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), hali inayosababisha mkanganyiko wa mambo. Wakati watu wengi wanaamini Yanga imeamua kuachana naye, kumekuwa na taarifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi ya Okwi yafunika Uganda

Harusi ya mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi imeacha historia nchini Uganda akitumia dola 80,000 ( Sh 160,000 Mil ) kwa ajiri ya kuifanikisha iliyofanyika Jumamosi jijini Kampala.

 

11 years ago

GPL

Uganda yamzuia Okwi kuzungumza na Yanga

Mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kauli ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuwa klabu hiyo inamdai mamilioni ya fedha mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati mara baada ya kusajiliwa, suala hilo sasa limewekwa kiporo. Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu ameliambia Championi Ijumaa kuwa, bado hawajaamua cha kufanya juu ya Okwi kwa kuwa wanamsubiri...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA OKWI YATIKISA UGANDA, YAHUDHURIWA NA VIONGOZI WA KIJESHI

Mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda,akiwa na mke wake, Nakalega Florence katika pozi. NDOA ya mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, aliyofunga na Nakalega Florence, juzi Jumamosi kwenye Kanisa la Lubaga Miracle Center, linaloongozwa na Mchungaji Robert Kayanja, ilionekana kutikisa viunga mbalimbali vya Jiji la Kampala nchini hapa.
Kutikisa kwa ndoa hiyo kulitokana na vyombo mbalimbali vya habari...

 

10 years ago

Mwananchi

JK, Nkurunziza wazindua treni za mizigo kwenda Burundi, Uganda na DR Congo

Rais Jakaya Kikwete na mwenzake Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wamezindua safari za treni tatu za mizigo ‘block train’ kutoka Dar es Salaam kwenda Burundi, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani